CHADEMA yampigia magoti Dk. Slaa. Wamtaka Arejee Kwenye Ukatibu Mkuu, Mwenyewe 'Awatolea nje'

Kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, zimesambaa taarifa za CHADEMA kumuomba Dr Slaa kurejea chamani na kwenye nafasi yake ya Ukatibu Mkuu. Tafsiri ya ombi hilo la CHADEMA kwa Dr Slaa ni kwamba hawajapata mtu wa kuvaa viatu vya Dr Slaa ambavyo hakuna mwenye uwezo wa kuvivaa. Hapa maneno ya Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Tundu Lissu kuwa viatu vya Dr Slaa ni vikubwa na kwamba hakuna mwenye uwezo wa kuvivaa ndani ya CHADEMA yanapodhihiri.
Taarifa za chini chini zinasema kuwa Dr Slaa amekataa wito huo wa CHADEMA 
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hamia CCM utapenda Na ubunge kuna nafasi mbili. Bado
    Chadema Na UKAWA hatukutaki

    ReplyDelete
  2. Acha uzushi nyie nani anamtaka padri fake huyo AKA mzinzi,aende fisiem

    ReplyDelete
  3. Tuwe wakweli jamani,hakuna kama Slaa CHADEMA.
    Ongeeni nae arudi tumpe urais,sio huyo mliyemkumbatia.

    ReplyDelete
  4. HUYO ANONY WA 2.21A NA 7.58AM ACHENI USENGE WENU ALIPOKUWA CHADEMA MLIMSHABIKIA SANA TENA KWA MUMWITA MAJINA MAZURI BAADA YA KUONDOKA AMEONEKANA SI CHOCHOTE HUO NI UFINYU WA AKILI NA UELEWA NA HAMNA LOLOTE KICHWANI. KWANI MMEAMBIWA CCM NDO PA KWENDA??????????????PELEKENI USENGE WENU HUKO WALIOMUOMBA NI WA CHADEMA NA UKIWA NA WALA SIYO CCM

    ReplyDelete
  5. Chadema ni wapumbavu kwa mujibu wa kubenea

    ReplyDelete
  6. CHADEMA TUMEPOTEZA MWELEKEO HASA BAADA YA KUMKARIBISHA LOWASA KIOVYOOVYO,NI UKWELI HAKUNA CHA KUFICHA MAANA KILA KITU KIKO WAZI.TULIMKARIBISHA KWENYE CHAMA LOWASA TUKIAMINI ATAKUJA NA MASHABIKI WENGI KWA LENGO LA KUSHINDA,MATOKEO YAKE TUMEONEKANA NI WAROHO WA MADARAKA KWA KUKUMBATIA MTU AMBAE TULIKUWA TUNAMUITA FISADI AKIWA CCM.KUIRUDISHA CHADEMA TENA KAMA MWANZO NI KAZI,SIFA ZA CHADEMA ZIMEPOTEA KWA ASILIMIA KUBWA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad