Chama kikuu cha upinzani Zanzibar CUF, kimeitaka Tume ya Uchaguzi visiwani humo ZEC kuondoa na kutotumia karatasi za kupigia kura zenye kuonesha jina la mgombea wake wa urais pamoja na baraza la wawakilishi kwa lengo la kugomea uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Machi 20 visiwani humo.
Chanzo: DW Swahili
safi hayo ndio MAAMUZI MAGUMU. hakuna kuremba na vyama vingi vifutwe kumanina zao, kazi uonezi. kaeni wenyewe madarakani mpaka mchoke dawa inachemka.!
ReplyDeleteHivi ndivyo ccm walivyopanga,pamoja na dunia nzima kuelewa kuwa CUF-UKAWA haitoshiriki kwenye uchaguzi wa marudio,uchaguzi haramu,uchaguzi wa kihuni,uchaguzi wa ccm kumchagua ccm lakini bado kuna njama chafu ya ccm kuzitumia picha za wagombea wote wa cuf-ukawa kuwa ni wagombeawa march-20![yaani maboya-abosheni] .hapa ieleweke kwamba katika hiki kinachoitwa 'uchaguzi wa marudio' hakuna mwananchi mwanachama wa cuf-ukawa,mpenzi wa cuf-ukawa na pia mwana ccm mcha mungu [marafiki wa lowassa-zanzibar],watakaothubutu kujitokeza kushiriki kwa kuihalalisha haramu hii.ni wana ccm pekee,peke yao ndio watakaojipigia kura.matokeo na takwimu za' wapiga kura'march 20 tayari vimekwisha pangwa.shughuli za sherehe ya kuapishwa sheni zimo mbioni kukamilika.hii ni dhambi kubwa, huu ni utapeli mkubwa wa kisiasa,hii ni dhuruma kubwa,huu ni wizi mkubwa,huu ni uchokozi mkubwa kwa raia wa tanzania zanzibar.UDIKTETA KARIBU TANZANIA-BARA NA VISIWANI.
ReplyDeletepichaya seif itawekwa kama kawa wewe ukisusa sie twalaaa
Deletewewe ukisusa sie twalaaa
DeleteMTAVIMBIWA VIWATOKE PUANI,MASIKIONI NA MTAHARIBIKIWA ILE MBAYA.ZETU DUA.
ReplyDeletenaichukia ccm kutoka moyoni, wanacho kifanya ni hatari sana.lakkini ipo siku watajutia.
ReplyDeletena muda wa kujuta ndio huu.