Diamond Kuonyesha Uwezo Wake Mbele ya Kiba..Kuachia Video Nyingine Wiki Hii Kuifunika Lupela

Haya sasa Chibu dangote! Diamond katika ukurasa wake wa twitter amesema kuwa wiki hii anaachia video mpya ya kwake na kutaka watu kukaa mkao wa kula

Sijajua Diamond ana Maana Gani akati kiba kaachia video nae mda mfupi tuu

Ngoja tusubiri

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wakati Daimond ameachia utanipenda ALI aliachia Nagharamia haikuwa kesi,lakini leo imekuwa kinyume watu wanaona mashindano na kulalamika,na kuona kama DAI mbaya,na mnasahau kama hii ni biashara.Leteni raha mashabiki tuinjoy

    ReplyDelete
  2. hii ni wildlife documentary kwa hiyo kesho asilalamike mtv hawaonyeshi.Watu wanatarget international kiba analeta video mbovu alaf anajiita king.Daimoko atamuona kwa mbali kila siku hamwezi Dangote hata bele 9 na ben pol hawafikii sema team yake inampa kichwa ila honestly kiba ni wa kawaida sana

    ReplyDelete
  3. hii ni wildlife documentary kwa hiyo kesho asilalamike mtv hawaonyeshi.Watu wanatarget international kiba analeta video mbovu alaf anajiita king.Daimoko atamuona kwa mbali kila siku hamwezi Dangote hata bele 9 na ben pol hawafikii sema team yake inampa kichwa ila honestly kiba ni wa kawaida sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. wacha dharau wewe.mbona wewe huimbi.Kiba hashindani na yoyote yeye anatafuta hela tu.sio mtu wakujionyesha.Wacheni Chuki .

      Delete
  4. Umeonaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad