Zari Hassan seems to be taking the phrase ‘all is fair in love and war’ too far in her latest attack on Wema Sepetu.
Zari savagely mocks Wema Sepetu by asking whether she still wants Tiffah’s DNA test after her ‘miscarriage’. Before accusing Wema of killing innocent babies in her fake movie, suggesting that Wema Sepetu had faked her pregnancy.
She then goes on to accuse Wema of being on another level of craziness by writing ‘Gaarl! You are something else.’ Before going on to add ‘No throwing shade, just stating facts.’
Timu ushuzi mpooo? Mimba feki ishaanza kuwa cost. Haya mwageni mitusi maana ukweli unaumaaa. Thanks the boss lady.
ReplyDeletehuyu nae dada kaishiwa kweli bosslady gani unakaa ukimfwatilia ex wa bwana wako hivyo wakati huyo bwana wako ndio aliachwa be a woman wewe zari
ReplyDeletezari hawezi kuishiwa ni huyo drama qwn wenu ndio katapatapa km mfa maji mara ngapi zari kanyamaza?
DeleteZari unajidhalilisha, mama mzima unataka kucheza ngoma za watoto, tunza heshima yako.
ReplyDeleteHuyo BIBIBOMBA alienda kwao kutambika, pengine yeye pia kachangia mimba ya Wema kutoka ili apate la kusema, kama afanyavyo sasa...yaani kafurahi mpaka anakufuru..........!!!
ReplyDeleteIs he real care, what kind of a mother abandoned her own children for a tomboy? They are raised by nanny?!really? Is is just a looser, she will the price one day,
ReplyDeleteKwa nini kila wakati wema akiambiwa ukweli watu wanakasirika acheni kumjaza ujinga lazima ambiwe ukweli unama lakini atajifunza kuweka mambo yake private
ReplyDeletekiki za msimu!!!
ReplyDelete