Lowassa pia ameendelea kuwataka Watanzania kuwa watulivu na kulinda amani ya nchi na kujiepusha na kila jamboambalo wanaona linamwelekeo wa uvunjifu wa amani.
Hayo aliyasema wakati alipokuwa akijadili mambo mbalimbali ya kuimarisha chama.
Aidha, aliwaomba wazee hao kutokata tamaa kwani kuna mambo mengi ya kufanya hadi kufikia malengo waliyojiwekea.
"Hali ya chama chetu na UKAWA iko vizuri, uchaguzi tulishinda, sisi tunajua, Jumuiya za Kimataifa zinajua na hata CCM wenyewe wanajua kama tulishinda, ila ubabe wao na dhuulma ndio wamefanya waliyofanya," alisema.
Lowassa alifafanua zaidi kuwa kama chama kinachojiandaa kushika dola hawakuwa tayari kuingia Ikulu kwa damu ya watazania na ndiyo maana hata vijana walipomtaka atoe kauli ya kuingia barabarani anasema, "niliwazuia."
Dah,kiongozi unaongea nini sasa?
ReplyDeletesi ulituambia tukupigie kura tu na ulinzi wa kulinda kura
utakuwa kwako kwa kuwa unawajua CCM vizuri?
JUMUIYA YA KIMATAIFA WALISEMA UCHAGUZI ULIKUWA WA HAKI.
ReplyDeleteZITO NDIO WA KUINGIA IKULU.
ReplyDeleteLowasa unazidi kuchanganyikiwa Tu, WW nawe ulikua jipu ulitumbuliwa, sasa naona umejaa tena usaha, JPM haangalii mvi
ReplyDelete