Huyu Hapa Ndio Mwanafunzi Mchina Aliyeshika Nafasi ya Pili Matokea ya Kidato cha Nne Yaliyotoka Jana

Mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne Feza Girls 2015 , Mtanzania mwenye asili ya China, Congcong Wang,ameshika Nafasi ya pili Kitaifa ,amepata Divisheni 1.7 yenye 'B' ya Kiswahili!

Nini maoni yako?

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wabongo mnafurahisha sana baada ya kusikitika mnafurahia ujinga, hivi mmejiuliza kwa nini watoto wenu wa kibongo wanafeli? na je huyo mchina akifanikiwa faida inakuwa ya nchi ya china au tanzania? mingepena sana mada ya kuuliza kwanini wanafunzi wa familia maskini ambazo ndo watanzani walio wengi wanafeli , je ni kweli tunatengeneza taifa la kuwa soko la bidhaaza kichina?

    ReplyDelete
  2. Hiyo division 1.7 imekujaje? au ni mfumo mpya cyo ule wa zamani uliotumika? na div 1 imeanzia point ngapi mwisho ngapi. naomben kufahamishwa hiyo post inanichanganya.

    ReplyDelete
  3. Wadau hiyo divion 1.7 ndo mfumo gani? au mfumo ule uliotumika cyo wa zamani ambao division 1 inaanzia 7POINT?. NAOMBENI UFAFANUZI MTOA MAADA KANICHANGANYA. HAJAIWEKA CLEAR.

    ReplyDelete
  4. Hiyo roho mbaya sasa kwa hiyo mtu usimpe hongera kisa,acha roho mbaya km wanafunzi wetu hawasomi!!

    ReplyDelete
  5. Hmmmm wachina hao sasa mpaka skuli wanaongoza sie watanzania tunabakia kusifu .....kwa nini na sie tusifaulu kama wao tujiulize.

    ReplyDelete
  6. mitoto ya siku hizi hovyo kabisa kazi kuangalia Instagram, whatsapu cijui kushangilia manchesta au arsenali!! hamna kitu! ona sasa wanaume ndiyo mwishoo kbs mpaka mnaongozwa na akina dada tena wakichina!!

    ReplyDelete
  7. Ewewe mjinga unaita wabongo wajinga huyu msichana ni mtanzania mwenye asili ya China hivyo huyo ni mtoto wa mtanzania na ni mtoto wetu kwenye nchi yetu katika system ya masoma yetu , rudi shule mjinga wee

    ReplyDelete
  8. Acheni ubaguzi kama kafaulu anastaili pongezi,halafu we 'mzee wa haki' Divisheni 1.7 maana yake ni "division one point seven" vipi bado haujaelewa?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad