Jaji warioba |
Jaji warioba amesema ni vema atafutwe msuluhishi wa katikati na pande zote zirudi mezani.
MyTake: Kama Kada wa CCM amemkataa Jecha, Bado kuna watu wanajitoa ufahamu,muda utawadia..Asiyesikia la mkuu huvujika guu
By Kibo10/JF
Jaji warioba |
inasikitisha sana kuona ccm inavyotumia mwavuli wake wa chama-dola kutokubali kushindwa katika uchaguzi mkuu octoba 2015 kule visiwani,uchaguzi uliokuwa umetawaliwa na amani na utulivu mkubwa.ccm ni matatizo,tena,matatizo makubwa.mzee warioba mwana ccm mwenzenu kawageuka baada ya kuelemewa na ukweli.pole pole shetani aliyemkamata akiwa ndani ya ccm amemkimbia,kawa huru.ila tuu anachopotoka[nadhani bado hajaokoka vizuri]ni pale anaposema ccm na cuf warudi mezani,mezani kufanya nini?sema kura zimaliziwe kuhesabiwa na mshindi halali atangazwe.
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDelete