Jaji Warioba: Kurudia Uchaguzi Zanzibar ni Hatari

Jaji warioba
Akihojiwa na ITV Jaji warioba amesema kurudia Uchaguzi Zanzibar ni hatari na inaweza kupelekea umwagaji wa damu.
Jaji warioba amesema ni vema atafutwe msuluhishi wa katikati na pande zote zirudi mezani.

MyTake: Kama Kada wa CCM amemkataa Jecha, Bado kuna watu wanajitoa ufahamu,muda utawadia..Asiyesikia la mkuu huvujika guu

By Kibo10/JF
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. inasikitisha sana kuona ccm inavyotumia mwavuli wake wa chama-dola kutokubali kushindwa katika uchaguzi mkuu octoba 2015 kule visiwani,uchaguzi uliokuwa umetawaliwa na amani na utulivu mkubwa.ccm ni matatizo,tena,matatizo makubwa.mzee warioba mwana ccm mwenzenu kawageuka baada ya kuelemewa na ukweli.pole pole shetani aliyemkamata akiwa ndani ya ccm amemkimbia,kawa huru.ila tuu anachopotoka[nadhani bado hajaokoka vizuri]ni pale anaposema ccm na cuf warudi mezani,mezani kufanya nini?sema kura zimaliziwe kuhesabiwa na mshindi halali atangazwe.

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad