Jibu la Idris Sultan kwa Mtu Aliyeuliza kuhusu Wema Sepetu Kufuta Picha zake Instagram

Swali kubwa kwa sasa kwenye mitandao tofauti ya kijamii ni jee Wema Sepetu na Idris Sultan wameachana.

Swali hili limeibuka baada ya staa Wema Sepetu kufutilia mbali picha za Idris Kwenye kurasa yake ya Instagram

Haijulikani ni nani kamkosea mwenzake lakini inaonekana kuwa ni Wema ndiye aliyechukia zaidi kiasi cha kuamua kufuta picha zote za Idris alizowahi kuzipost kwenye akaunti yake ya Instagram.

Shabiki alivyomuuliza Idris Kuhusu picha zake kufutwa sasa, hili jibu alilopewa.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. safi idriss umemjibu vizuri wabongo bwana ni masikini wa kila kitu mawazo, mali, akili.,. ya kwao mbona magumu kuliko hayo wanayoyavalia njuga!! poleni vilaza mnasutwa hamkomi!

    ReplyDelete
    Replies
    1. unajua kuna watu hawalali kisa wema na idris. let them leave there own life so far who is the most clean that he/she can stand and judge them for whatever they are doing?

      Delete
  2. safi sana Idris.afadhali umemwambia ukweli.
    no wonder kuna watu hawalali kisa wema na Idris ilihali ya kwao yamewashinda.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad