‘Jogoo wa Ommy Dimpoz’ Anawika,Ex Wake Athibitisha...Asema Nay wa Mitego Anatafuta Kiki.

Baada ya diss ya Nay wa Mitego kuwa “jogoo wa Ommy Dimpoz hawiki” yaani jamaa “hapigi mechi”,mpenzi wa zamani wa Ommy Dimpoz amejitokeza hadharani na kukanusha tuhuma hizo ambazo Nay wa Mitego alimminia Ommy Dimpoz kupitia wimbo wake wa Shika adabu yako.

Mwanadada huyo ambaye picha yake akiwa na Ommy Dimpoz ilizagaa huku wakiwa wamevalia sare za shule ameweka wazi kuwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Ommy dimpoz na kuthibitisha kuwa Dimpoz alikuwa “akipiga mechi” kama kawa.

“Ni mzima kabisa,i don’t know huyu Nay anatafuta tu kiki..” alifunguka mrembo huyo ambaye kwa sasa anasema yuko kwenye mahusiano mengine.

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmmh sihamini hata kidogo hiyo ni picha tu haimanishi jogoo anawika tena inaonekana mdada alikuwa mkubwa kwa dogo. ukweli unaujua mwenywe na sio razima hawike.

    ReplyDelete
  2. Jamani mwenye ile picha ya Ommy Dimpoz alipokuwa nje ya nchi, kavaa bukta 'ilojaa' mbele, ikazua sana gumzo hebu tuwekeeni watu wafanye tathmini........mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
    Nay sio vizuri kumdhalilisha mwanaume mwenzio, hayo maneno yangesemwa na mwanamke tungemuelewa labda kaingia nae chumbani akashindwa, wewe je veepe!!

    ReplyDelete
  3. Jogoo kutopanda mtungi huwa inatokea wakati wowote hivyo inawezekana alikuwa mzima lakini kwa sasa ni majeruhi,ila ninazo dawa za kuwarudishia urijali wale wote waliopoteza urijali wao.Wanitafute niwasaidie.

    ReplyDelete
  4. Mtu mwenyewe unaona amekaa kama msenge kumamaye.

    ReplyDelete
  5. huyo nay ndio anawafanya muangaike hivyo mpaka mtafute ushahidi! poleni! mtu akikutusi huna haja ya kuanza kumjibu, Mungu atamrekebisha, we ommy tulia tu.

    ReplyDelete
  6. Kajamaa kabingwa kakupiga picha na Madem kumbe joka la kibisa lile tunachezea ngoma Usukumani. Ukiloacha na watoto unakuta wanacheza nalo. Usupastaa mzigo wa mwiba angekuwa anawika tungemsikia madem wa kibongo wanapenda kiki mnoo angesha jitokeza kudhibitisha. Madam wema alitaka kuhamishia majeshi kwake ili amuumize Platnumz ila alipoona jogoo hapandi mtungi akahamia kwa Kaka Mkubwa Africa akachokolewa tukasikia ya kusikia. Aisee kosa vyote ila Jogoo apande mtungi na Uzae. Sio apande halafu unatoa maji tu badala ya Mbegu pyeeeeeee.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad