Kampuni Tatu Zamtaka Mtoto wa Wema Sepetu Atakapozaliwa

Kampuni tatu zimejitokeza kutaka kumtumia kibiashara mtoto atakayezaliwa baada ya staa wa filamu Wema Sepetu kujifungua baadaye mwaka huu.

Chanzo cha uhakika kilicho karibu na staa huyo, kimesema kampuni hizo ambazo hakuzitaja kwa kushindwa kukariri majina yake, zimeshafanya mazungumzo ya awali na Wema, kwani wanaamini mtoto huyo atakuwa kivutio kikubwa.

“Hivi ninavyokuambia licha ya kampuni hizo, tayari wengine wamejitokeza na kudai watamvalisha kwa muda wa mwaka mzima mtoto huyo,” kilisema chanzo hicho.

Gazeti hili lilimtafuta muigizaji huyo na kuulizia juu ya ishu hiyo, ambapo alicheka na kudai hayuko katika nafasi nzuri kwa muda huo ili kuzungumzia suala hilo hadi hapo baadaye.

“Kwa sasa ni mapema mno kuzungumzia hilo jambo, nitaweka wazi baadaye,” alisema Wema

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Oooooops
    Watavalisha mbwa Na paka
    Iteni CNN BBC
    Zari bado kiboko

    ReplyDelete
    Replies
    1. kachawi haka

      Delete
    2. Wana haha wape zari ndie mtumbua majipu ya miss wat want

      Delete
  2. Anoy 20:21acheni kuwagombanisha hayo ya ZARI yamekujaje kila mtu Na majaliwa yk kiboko kwa kublich mwili au kubadili dini km chupi

    ReplyDelete
    Replies
    1. we anoy wa 1.34PM ACHA USENGE AU WEWE NDO UNABADILI CHUPI NA KU BLICH???????????????? ACHANA NA MAISHA YA WATU FUATA YA KWAKO MSHENZI MKUBWA

      Delete
  3. bibi bomba hana jipyaaa anataka kufata nyayo za dangote hawezi......blich mwili kitu gani huyo wema na hayo machiri mwilini unadhani alifanya nn....Mfyuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. michilizi ndo idi anaipenda maana akiigiusa inampa hamasa

      Delete
  4. watoa koment wameanza tena kukoment utoto! hii ndioakili ya walio wengi tz.. mada inahusu kampuni kumtaka mtoto, wao dangote zari.! poleni malofa

    ReplyDelete
  5. pole yao kweli watatokwa na povu wema kiboko yenu

    ReplyDelete
  6. Kwa sasa halipo hilo jambo ila unahisi litakuja,au unatafuta ili liwepo,na sio kwamba ni mapema kuliongelea.
    Hunaga siri na kila kitu chako unataka kutangaza na hili lingekuwepo ungesha weka mitandaoni.Hongera.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad