Kati Ya Mapenzi Ya Kweli na Fedha Kipi Kinanguvu zaidi?

Siku zinasonga na maisha yanabadilika,Unakumbuka miaka ya 90's jinsi mapenzi yalivyokuwa na nguvu?

Vipi leo,Bado mapenzi yanaile nguvu yake ya asili au fedha ndio mpango mkakati kwa sasa?

Kwa mitazamo yenu,Ipi nafasi ya fedha kwa sasa na ipi nafasi ya mapenzi.Kipi kinanguvu kati ya Hela na mapenzi?

Vinategemeana au havitegemeani?Na kama havitegemeani kipi chenye nguvu?

Mapenzi Vs Fedha..!
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unauliza jibu pesaaaa baba ndo mpango mapenzi peleka hukooo

    ReplyDelete
  2. Wewe unazan DIAMOND angekua kapuku angempata zarina hasan??????????

    Ingawaje baadhi husema mapenzi cio pesa ILA pesa ikipungua au ikikosa mapenzi hupungua au huisha/hupotea KABISAAAAA.....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad