Nimeshangazwa kidogo kwa kitendo cha Rais Dkt Magufuli kuwaandalia karamu ya kuukaribisha mwaka mpya, mabalozi na Maafisa wa kimataifa waliopo nchini na kisha yeye mwenyewe kumtuma waziri wake wa mambo ya nje kumwakilisha.
Kwa maoni yangu naamini hili ni kosa la kiufundi hasa ikizingatiwa kuwa Magufuli ndio ameanza tenure yake kama Raisi na hivyo angepaswa kutumia fursa hiyo kikamilifu ili kujenga taswira yake vema kimataifa kupitia kile anachokiamini na kusimamia.
Taarifa iliyorushwa na vyombo vya habari haikusema ni dharura gani aliyokuwa Mhe Rais ilihali yupo nchini.\
Source:Jamii Forums
Kulikoni Dkt Magufuli Kutohudhuria Karamu ya Mabolozi Ikulu?
9
February 09, 2016
Tags
Maswali ya Zanzibar alioogopa
ReplyDeleteUna washauri wakukaya pls hawa ndiyo wawakilishi WA nchi zinazotupa misaada
Kwenye bageti Na maendeleo
Hapa umeteleza
Hata Kama uliogopa maswali ya moja kwa moja
Utashangazwa na mengi, WW Una harusi ngapi ?? Umealikwa na hujahudhuria?!!
ReplyDeleteacha kumfuatilia Mhs Magufuli, kila kitu mnataka afanye, haiwezekani akafanya kila kitu, ndiyo maana anawasaidizi wake, mwache Mh afanye ya maana.
ReplyDeleteTunaomba Rais wetu aongee Kiswahili na awe na mkalimani wakati anahutubia wageni au yuko Ugenini.
ReplyDeleteUnawaza kama ninayo waza mimi? Lugha mwana wane!
DeleteKwani hata akibanwa na tumbo ni udhuru,au ni lazima atangaze?
ReplyDeleteTuache ufunyukunu jamani aah!
Tumbo la kuhara
DeleteLet's talk the truth here
It's Zanzibar issue that's all
Pamoja Na vishindo vya push-up
DeleteTulifikiri wagonjwa wapo UKAWA tu
Kama amerithi wasaidizi WA vasco dagama
ReplyDeletePole