Kulikoni Dkt Magufuli Kutohudhuria Karamu ya Mabolozi Ikulu?

Nimeshangazwa kidogo kwa kitendo cha Rais Dkt Magufuli kuwaandalia karamu ya kuukaribisha mwaka mpya, mabalozi na Maafisa wa kimataifa waliopo nchini na kisha yeye mwenyewe kumtuma waziri wake wa mambo ya nje kumwakilisha.

Kwa maoni yangu naamini hili ni kosa la kiufundi hasa ikizingatiwa kuwa Magufuli ndio ameanza tenure yake kama Raisi na hivyo angepaswa kutumia fursa hiyo kikamilifu ili kujenga taswira yake vema kimataifa kupitia kile anachokiamini na kusimamia.

Taarifa iliyorushwa na vyombo vya habari haikusema ni dharura gani aliyokuwa Mhe Rais ilihali yupo nchini.\

Source:Jamii Forums

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Maswali ya Zanzibar alioogopa
    Una washauri wakukaya pls hawa ndiyo wawakilishi WA nchi zinazotupa misaada
    Kwenye bageti Na maendeleo
    Hapa umeteleza
    Hata Kama uliogopa maswali ya moja kwa moja

    ReplyDelete
  2. Utashangazwa na mengi, WW Una harusi ngapi ?? Umealikwa na hujahudhuria?!!

    ReplyDelete
  3. acha kumfuatilia Mhs Magufuli, kila kitu mnataka afanye, haiwezekani akafanya kila kitu, ndiyo maana anawasaidizi wake, mwache Mh afanye ya maana.

    ReplyDelete
  4. Tunaomba Rais wetu aongee Kiswahili na awe na mkalimani wakati anahutubia wageni au yuko Ugenini.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unawaza kama ninayo waza mimi? Lugha mwana wane!

      Delete
  5. Kwani hata akibanwa na tumbo ni udhuru,au ni lazima atangaze?
    Tuache ufunyukunu jamani aah!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tumbo la kuhara
      Let's talk the truth here
      It's Zanzibar issue that's all

      Delete
    2. Pamoja Na vishindo vya push-up
      Tulifikiri wagonjwa wapo UKAWA tu

      Delete
  6. Kama amerithi wasaidizi WA vasco dagama
    Pole

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad