Kweli Siasa si Uadui..Hawa Juzi Nusura Wazipige Laivu Laivu...Leo Mchana Hali ilikuwa Hivi Wakimsubiri Waziri Mkuu Airport..

Mbunge wa Iringa mjini akiwa na mkuu wa wilaya Kasesela wakimsubiri waziri mkuu Airport.. Unakumbuka juzi karibu wazichape laivu bila gloves?? Siasa ni..........
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hilo nalo lakukushangaza, hukuwashangaa chadema walipomsimamisha Lowasa agombee uraisi kupitia chama chao, wakati wao chadema walizunguka Tanzania nzima wakimwita Fisadi, mwizi, na ushahidi wakumpeleka mahakamani wanao.........ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni

    ReplyDelete
  2. Mzee wa kubadilishia gia angani alisema, katika siasa hakuna adui wakudumu wala rafiki wakudumu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad