Maandammano ya CHADEMA Kesho Kuelekea Ikulu Yapigwa Marufuku

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika hapo kesho na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuelekea Ikulu jijini Dar es salaam kushinikiza kurejeshwa kwa matangazo ya moja kwa moja ya Bunge.

Akizungumza leo jijini Dar es salaam, Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Naibu Kamishna wa Polisi Simon Siro amesema Chama hicho kinatakiwa kutumia mbinu nyigine ya kushinikiza kurejeshwa kwa matangazo hayo ya Televisheni ya Taifa na sio kupitia maandano.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Team kinana hao
    Tumeangusha kijidege Na bado mtuguse
    Mtakoma

    ReplyDelete
  2. hv sheria inasemaje kuhusu maandamano?mnaojua mtujuze......

    ReplyDelete
  3. Uwa wote hao kwa mabomu
    CCM wasenge

    ReplyDelete
  4. Waache kutuwekea viwingu barabarani,wanawabunge wa kutosha, wawatumie kufikisha ujumla wao..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad