Magufuli Ataka Bandari Zilindwe Na Jeshi La Polisi Kama Ilivyokuwa Hapo Awali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka jeshi la polisi nchini kurejesha kitengo cha ulinzi bandarini na pia eneo ambalo linafungwa mita za mafuta.

Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, imesema Rais Magufuli ametaka jeshi la polisi nchini kurejesha ulinzi kama ilivyokuwa nyakati za nyuma kabla mamlaka ya bandari haijaamua kubandilisha mfumo wa kuweka walinzi wake.

Balozi Ombeni Sefue ameongeza kuwa katika eneo ambalo linafungwa mita za mafuta (Flowmeters), ambalo waziri mkuu alitembelea na kumsimamisha mkurugenzi wa wakala wa vipimo sasa ni lazima lilindwe na jeshi la polisi.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Police ndio safe Sana au

    ReplyDelete
  2. Hiyo ni sawa jana ulikula kunde na leo umeamua kula mbaazi zote hizo ni mbegu huo mti wa kuitwa rushwa/ufisadi wakati unachipua mlikuwa mnaumwagilia maji kila siku ili uote sasa umekuwa mti mkubwa wenye mizizi mirefu migumu kama jabali la baharini na pia mti huo umekuwa sugu kuung'oa mti huo Tanzania iwe hapa kazi tu au hakuna kazi ni ndoto shauri viongozi wote ni walewale kama nilivyosema mwanzoni kuhusu jana kula kunde na leo mbaazi yaani rushwa ufisadi kuanzia juu mpaka chini pesa ya kibongo haina thamani mshahara mbovu maisha ni aghari sasa huo mti nani ataukata leo halafu kesho afe na njaa NO WAY tuangalie miaka mitano ijayo halafu tuone

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad