Magufuli Atinga Kivukoni kwa Kushtukiza, Akuta Ofisi zipo Wazi

Rais mpendwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh ndg Dr. John Pombe Magufuli kavamia hivi punde katika ofisi za vivuko Magogoni na kukuta ofisi zote zipo wazi hazina watu zaidi ya baharia mmoja tu aliyekutwa akifanya usafi na kuhojiwa.

Kwa taarifa zaidi usikose kuangalia taarifa ya habari.

***Mwaka huu ni kazi tu ***

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WAHANDISI HAWA WATAKUWA SITE BILA SHAKA. PANTONI ZINACHEMKA KUNAKALIKA OFISINI KWELI? NADHANI HIVI NDIVYO ITAKIWAVYO.

    ReplyDelete
  2. Watanyooka ..........HAPA KAZI TU!

    ReplyDelete
  3. Hivi kwanini asije na CDA DODOMA JAMANI

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad