Mama wa miaka 40, Betty Mbereko wa huko nchini Zimbabwe anataka aoelewe na mtoto wake wa kiume Farai Mbereko (23). Imeelezwa kuwa wawili hao wako kwenye mapenzi makali na hivyo kuamua kuupeleka uhusiano wao kwenye level nyingine ya ndoa huku tayari mama huyo akiwa na ujauzito wa miezi sita aliopewa na mwanae.
Embu tuambie, unadhani dunia inaelekea wapi?
Mama Apewa Mimba na Mtoto wake wa Kumzaa..Adai Wako Katika Mapenzi Mazito na Wameamua Kuoana
17
February 19, 2016
Dunia iko mwisho. yesu rudi uone
ReplyDeleteChizi huyo
ReplyDeleteKweli dunia ya mwisho kwangu mimi naona wakati we kifoo juu sioni kingine kinawastahili dunia
ReplyDeleteKweli dunia ya mwisho kwangu mimi naona wakati we kifoo juu sioni kingine kinawastahili dunia
ReplyDeleteWauwawe juu haina mana yakuishi dunia watu kama hawo iyo nikupita mipaka ya mwenye zimungu
ReplyDeletekapika chakula kizuri na kitamu kikamnogea mpishi mwenyewe acha ale tu hakuna taabu mbona tamu tu
ReplyDeleteDogo hana kinyaa kama Idriss. Wanapendelea ma bb bomba wenye michirizi ya zebra.
ReplyDeleteKama ni kinyaa angekiona Domo, Zari 'aliuanika' upapa wake hadharani dunia nzima wakauona akijichua.........
DeletePumbavu weee hapo juu idriss anatembea na mama yake kwan unavyomfananisha
ReplyDeleteADELQUEEN KWELI KBS NAUNGANA NA WEWE TENA SIYO TU PUMBAVU ILA HANA MBINU KABISA
DeleteHuyu mama ni pedophile alitakiwa afungwe.ingelikuwa ni baba kafanya hivyo ingelikuwa story nyengine.
ReplyDeleteUnbelievable!
ReplyDeleteHata hivyo huyo mvulana ukimwangalia vizuri anafanana na kijana mmoja wa
mungu alete gharika tu
ReplyDeleteDalili zote za mwisho wa dunia zimeshaonekana tunasubir cku tu
ReplyDeleteItakuwa kijana kafanana sana na babake ndo mana mama kila akimmwangalia anasisimka anakumbuka
Amelaani huyo na Mungu. Mtu huwezi fanya hivyo labda mchawi au kuna tatizo kichwani, kwa hamu gani ya kumtamani mtoto wako uliyemzaa!! tulikuwa tunasikia mara nyingi wababa ndio wanafanya mambo haya! sasa na wamama nao wameingia humu!! lazima dunia haiko kama ilivyokuwa hapo kabla na inakaribia mwisho!! kama Mzee Yakobo alimlaani mtoto wake kwa kutenda tendo la ndoa na mama yake wa kambo, hadi kumwambia ni sawa na kuona utupu wake!!! je, sasa inakuaje kwa mtoto kuingia kwenye utupu wa mama yake!!! hivi kweli Mungu anatuonaje sisi binadamu kwa mtiondo huu wa maisha!! yaani ni lazima kuna roho isiyo ya kawaida inatembea kufanya maasi. Cha msingi huyo mama atenganishwe na mtoto wake kabisa, maana ni laana kubwa na tusipoangalia itapotosha wengi kufuata mkumbo huo.
ReplyDeleteSi kila habari ni ya kutangazwa, namna hii mnasambaza maasi jamani. Leteni habari zenye faida kwa jamii sio hizi za maangamizi. Daaah ama kweli hizi ni dalili kwamba siku za mwisho zishafika
ReplyDelete
ReplyDeleteSomeni Dini .Mutajiheshimu, bila Dini uko kama mnyama tu.