Mama Apewa Mimba na Mtoto wake wa Kumzaa..Adai Wako Katika Mapenzi Mazito na Wameamua Kuoana

Mama wa miaka 40, Betty Mbereko wa huko nchini Zimbabwe anataka aoelewe na mtoto wake wa kiume Farai Mbereko (23). Imeelezwa kuwa wawili hao wako kwenye mapenzi makali na hivyo kuamua kuupeleka uhusiano wao kwenye level nyingine ya ndoa huku tayari mama huyo akiwa na ujauzito wa miezi sita aliopewa na mwanae.

Embu tuambie, unadhani dunia inaelekea wapi?

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dunia iko mwisho. yesu rudi uone

    ReplyDelete
  2. Kweli dunia ya mwisho kwangu mimi naona wakati we kifoo juu sioni kingine kinawastahili dunia

    ReplyDelete
  3. Kweli dunia ya mwisho kwangu mimi naona wakati we kifoo juu sioni kingine kinawastahili dunia

    ReplyDelete
  4. Wauwawe juu haina mana yakuishi dunia watu kama hawo iyo nikupita mipaka ya mwenye zimungu

    ReplyDelete
  5. kapika chakula kizuri na kitamu kikamnogea mpishi mwenyewe acha ale tu hakuna taabu mbona tamu tu

    ReplyDelete
  6. Dogo hana kinyaa kama Idriss. Wanapendelea ma bb bomba wenye michirizi ya zebra.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama ni kinyaa angekiona Domo, Zari 'aliuanika' upapa wake hadharani dunia nzima wakauona akijichua.........

      Delete
  7. Pumbavu weee hapo juu idriss anatembea na mama yake kwan unavyomfananisha

    ReplyDelete
    Replies
    1. ADELQUEEN KWELI KBS NAUNGANA NA WEWE TENA SIYO TU PUMBAVU ILA HANA MBINU KABISA

      Delete
  8. Huyu mama ni pedophile alitakiwa afungwe.ingelikuwa ni baba kafanya hivyo ingelikuwa story nyengine.

    ReplyDelete
  9. Unbelievable!

    Hata hivyo huyo mvulana ukimwangalia vizuri anafanana na kijana mmoja wa

    ReplyDelete
  10. mungu alete gharika tu

    ReplyDelete
  11. Dalili zote za mwisho wa dunia zimeshaonekana tunasubir cku tu
    Itakuwa kijana kafanana sana na babake ndo mana mama kila akimmwangalia anasisimka anakumbuka

    ReplyDelete
  12. Amelaani huyo na Mungu. Mtu huwezi fanya hivyo labda mchawi au kuna tatizo kichwani, kwa hamu gani ya kumtamani mtoto wako uliyemzaa!! tulikuwa tunasikia mara nyingi wababa ndio wanafanya mambo haya! sasa na wamama nao wameingia humu!! lazima dunia haiko kama ilivyokuwa hapo kabla na inakaribia mwisho!! kama Mzee Yakobo alimlaani mtoto wake kwa kutenda tendo la ndoa na mama yake wa kambo, hadi kumwambia ni sawa na kuona utupu wake!!! je, sasa inakuaje kwa mtoto kuingia kwenye utupu wa mama yake!!! hivi kweli Mungu anatuonaje sisi binadamu kwa mtiondo huu wa maisha!! yaani ni lazima kuna roho isiyo ya kawaida inatembea kufanya maasi. Cha msingi huyo mama atenganishwe na mtoto wake kabisa, maana ni laana kubwa na tusipoangalia itapotosha wengi kufuata mkumbo huo.

    ReplyDelete
  13. Si kila habari ni ya kutangazwa, namna hii mnasambaza maasi jamani. Leteni habari zenye faida kwa jamii sio hizi za maangamizi. Daaah ama kweli hizi ni dalili kwamba siku za mwisho zishafika

    ReplyDelete

  14. Someni Dini .Mutajiheshimu, bila Dini uko kama mnyama tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad