Mange Kimambi Afunguka, Atoa Ushauri Kwa Wema Sepetu Baada ya Kusemekana Mimba Kutoka...Amwambia Aachane na Wanaume wa Mitandaoni
29
February 17, 2016
From Mange Mange kimambi_
"Baada ya kusoma posti ya Idris all I can say is Pole mdogo wangu.
Kama hukuwa na mimba kama wasio kupenda wanavyodai au kama kweli ulikuwa nayo ni wewe, Idris na Mungu mnaeujua ukweli. Wanawake wengi mno wanapata miscarrage especially mimba ya kwanza, ila kwako wewe lazma waseme ulikuwa unatafuta Kiki. Like is said ukweli mnaujua wenyewe.
Wema wewe sio mtu kuchukua ushauri ila this time naomba uchukue ushauri wangu pls. Theres a reason why wanawake huwa wanaambiwa hata na madoctor wasitangaze mimba mpaka ipite 4 months and thats because mimba chini ya miezi minne inaweza kutoka anytime. Hata dadako hapa huwa nakuwa na kiherehere cha kutangaza kwenye blog nna mimba ila huwa najikaza mpaka niingie 2nd trimester.
Next time news kama hizi only share with your mom na dada zako not marafiki . Kumbuka hizi habari zilianza kutanganzwa na marafiki zako , i think baada ya hapo na wewe ndo ukapata mshawasha wa kutangaza. Hao sio rafiki zako Wema hakuna rafiki anaweza kumtangazia rafiki yake anaempenda kimimba cha mienzi miwili ,huo ni wakati wa kuomba kwa Mungu mimba ikue na ikomae na sio muda wa kutangazia wajinga. Mimi personally nilitaka hata kulia ulipotangaza but it was too late.
Another thing Wema, hivi kwanini unakubali kuwa pressured na wajinga wa social media kuzaa when you are not ready??? The pressure is getting to you Wema. Mbali na familia yako ni mimi peke yangu ndo ninae jua umri wako Wema, Wema huna hata 26 years we mtoto. toka lini mtu mdogo hivyo akawa classified as tasa??? Why unakubali kupewa pressure uzae ukiwa mdogo hivi? hata kuolewa hujaolewa?? Achana nao mdogo wangu, acha waongeee midomo mali yako. Subiri uolewe ndo uzae ,hujawahi hata kuishi na mwanaume for more than a year why uitwe tasa na wewe uanze kupata mshawasha wa kubeba mimba? Achana na hao wapuuzi. Mwishowe uje kuzaa mtoto while you are not ready au uzae na mtu huna mpango wa kuishi nae kisa tu uwakomeshe hawa wajinga wa kwenye mitandao. utajikomesha mwenyewe. Please dont succumb to the pressure. You are way too young.
Wanakushindanisha na wanawake ambao unatakiwa uwaamkie tena kwa kupiga goti na wewe unakubali kabisaaa. Kuzaa wanazaa mpaka panya when the time is right utazaa.
Another thing, don't succumb to the pressure ya maisha ya ex wako. Kama Kweli uliwahi kumpenda be happy for him that he is happy! That's what love is! Na wewe you will be happy. Usipewe pressure na hawa mbwa wa kwenye mitandao kuwa your ex is happy with so and so mpaka Na wewe uwe Na pressure ya kuwa na Mtu. Au kukufanya Na wewe uanze kuonyesha uko in love na Mtu. You are a beautiful woman you can pull any man you want. Take your time pls! Hawa mbwa wa kwneye mitandao wanaweza kukufanya ukaharibu Maisha yako ili uwa prove wrong. Achana nao. .
Listen everything happens for a reason. Kuna Sababu maalum why wewe Na Diamond hamko pamoja and that's because kuna mwanaume Mungu amekupangia. Labda ushakutana nae maybe not but yupo wa kwako.
Mi Naomba uwe Kama Beyoncé , her love life is soooooo private Mpaka haters wanakosaga cha kusema. Be private na wanaume maboyfriend and so forth. Ukiolewa Au ukichumbiwa ruksa kumtangaza mumeo. But before that be careful Maana mkiachana watu wanakuwa wana vitu vya kuku sema.Don't succumb to the pressure ya kushindanishwa na ex wako. Yani watu wanawafanya Kama wajinga, wanawashindanisha daily waone mtaishia wapi Na nyie mnawapa faida.All those videos ulikuwa unaweka snap chat of you and Idriss baadae zitakuja kukuhaunt, there is no need. Usishindane nao. Acha waweke video zao za kihindi and so forth wewe keep your love life private , utaona faida yake baadae. Acha waje kushtukia Wema anaolewa na mimba ya miezi 9 juu Wabaki wametoa macho. Au washtukie umeshazaaa kabisa waseme umeiba mtoto
Please achana na hawa marafiki Wema. Kama iki work out with Idris good for you, if not nakushauri tafuta mwanaume ambae hayuko hata Instagram au social media plssss ili akuongoze vizuri. Find a guy mwenye Maisha tofauti kabisa na ya kwako. Mkaka flani meneja wa benki Huyo ndo atakubadilisha completely but these guys wa kwenye mitandao Kama wewe issue itakuwa pale pale. Like ungekuwa Na mkaka wa benki huko kwanza hata Ile interview ya clouds angekukimbizaaaa angekuchapa vibao kabla hata hujatangaza hiyo mimba
Tags
Ni kweli lakini maisha ya mtu anapanga Mungu.ninachoongezea kwa sema mimba zingine haziwezi mikiki mikiki. Mungu akijaalia ukabeba nyingine, tumia muda mwingi kupumzika na sio kukesha club hadi usiku mkubwa. Pia chunguza kizazi chako kwa wataalam wa masuala ya uzazi hospital huenda ukawa na tatizo la mlango wa kizazi kuachia mimba ikianza kuongeza uzito ili utakapobeba mimba nyingine wawahi kukifunga kizazi kuzuia miscarriage.
ReplyDeleteUshaur mzur kwa wema na wengne woteee wanaotumia mitandao vibaya
ReplyDeleteWe nawe ushachelewa wema sikio la kufa hajitambui kama hana wazazi hawao wenzie wengine wapo kama hawapo lakini yeye kila siku makelele ili aonekane imefikia hatua watu wanamchoka tatizo lake anapenda sifa sana na umaarufu wa kijinga
ReplyDeleteSio kuita watu mbwa japo mawazo yako yapo sawa. Ila sidhani kama wema atayafuata.
ReplyDeleteUpo sawa ila sio kuwaita watu mbwa. Nikuite mbwa nawewe kabla sijasau. Nasidhani kama wema atafuata ushauri wako. Et tafuta meneja wa benk. Aliekwambia mpz huwa anachaguliwa nani? Aandike Tangazo basi kuwa natafuta mpz awe meneja wa Benk uone kama mameneja wa benk wanapenda ujinga huo. Mi nimeneja wa Benk flan ila sipendi Masuper star. Sasa wewe unamshairi mwenzio akachukue mtu ambae hata insta haijui unafikiri huyo atkiwa mtu gani kama sio Mkulima wa tumbaku huko Sikonge? Jipange uje na ushauri mwingine
ReplyDeletekweli akachukue mkulima wa mahindi
DeleteYeah. Hahahaha
Deletewema ni mdogo wa miaka lkn mwili kashauzeesha sana......inayozaa sio akili ni mwili muelewe hilo. Ni bora akazaa atabadilika tu na kua na akili ya kiutu uzima kupambana na maisha ili mtoto ale avae sio huu upuuzi anaoufanya sasa hivi wa kubadili midume tu kila kukicha. Ni bora uzeeshe mwili kwa kulea watoto zako kuliko kuzeesha mwili kwa kulea mimwanaume ya watu. Wema hataweza kubadilika mpaka azae maana mwanamke akishazaa ndo hua akili ya usichana inampotea na kubehave ki utu uzima........angalieni kampani yake ambao washazaliswha na muwalinganishe na wakati walipokua hawajazaa.....
ReplyDelete2006 si alikuwa 18? sasa iweje Mange anadai she is 25? Wema hana utoto wowote. Ni mtu mzima kama Mange. Shughuli yao kubwa ukahaba na mabifu. Ptuuu
Deletehahahahahahahahahahahaha eti mkaka wa benki......why bank si atafute msukuma guta tu.......wema hakuna asiyemjua jiji hili yaani mtu na akili zake manager wa bank akauvagae huo moto sijui karogwa na nani?Wema ni star na hayo ndo maisha ya ustaa sema yy amekua limbukeni sana.....huwezi mtoa kwenye social nets leo na huo ndo watu wanatafutia mabwana.....mme gani atakubali kila leo mkewe scandle tu anaandikwa kwenye magazeti
ReplyDeleteumenena mdau wema ni kunguru hafugiki
DeleteUmaarufu kazi
ReplyDeletewanawake wa singida wanatuliga?
ReplyDeleteMuone mama yake. Mzee lakini bado kicheche.
Deleteupuuzi mtupu tatizo la nange unamtumia wema kama excuse ya madudu yake yani apo unamtetea wema as if she is not guilty kabisa madudu anayo fanya wema ni kajitakia mwenyewe na ndio maisha anayoyapenda
ReplyDeleteanataka awe na kila kitu wakati uwezo huo hana we mwanaume wa heshima zake haezi kuvumili madudu ya wema
tatoo mwili mzima khaa
mwizi anamshauri mwizi mwenzake
ReplyDeleteupuuzi mtupu tatizo la nange unamtumia wema kama excuse ya madudu yake yani apo unamtetea wema as if she is not guilty kabisa madudu anayo fanya wema ni kajitakia mwenyewe na ndio maisha anayoyapenda
ReplyDeleteanataka awe na kila kitu wakati uwezo huo hana we mwanaume wa heshima zake haezi kuvumili madudu ya wema
tatoo mwili mzima khaa
Mungu atamsaidia yupo kwenye mtihani mwenzenu mpeni nguvu acheni kutoka Na kukandia yaliyo mtokea ndio anayeyajua pole sweet soon utapata nyengine
ReplyDeleteakomeee ndio ajifunze
ReplyDeleteViva Nay wa Mitego kwa kuwatumbua majipu! mimba? ama ilikuwa kiki?
ReplyDeleteLaana za wake za watu. Laana na machozi ya wale wote aliowavunjia mahusiano yao. She will be haunted for the rest of her life. Ana laana kama huyo mshauri wake Mange. Tofauti yao Mange kazaa na wanaume wawili Wema mgumba.
ReplyDeleteMeneja wa bank asiyejua kuandika kisw hovyoooo kama wewe sio mbwa yann kubweka mazafanta we ni mbwaaaa
ReplyDeleteMange kamshauri hajamtumia kama excuse soma article yake vzr kamshauri na kumsema kwa anayofanya sio sawa...hutaki kale mavi sio kila kitu mna hate tu...we wema nae mixxxewww unaboa bwana
ReplyDeleteHuyo mange akafue chupi zake kwanza ndio alete ushauri wake yy mwenyewe kashaachika. Malaya mnuka utoko km huyo wema.
ReplyDeleteumeongea kweli mange kwenye mtandao kuna mbwa tena wanabweka sana,. msiwasikilize hao mbwa koko yao mbona ni magumu kuliko yenu, hawayasemi!
ReplyDeleteHivi huyu idris si mdogo kwa wema mbona watu hawalisemi hilo.poor wema tafuta mtu aliyekuzidi umri atakueshimu kuliko hawa vijana kama idris atakuja kukuumiza baadaye
ReplyDeletedrama qwn hakuwa na mimba mpumbavu huyu Kiki za kijinga kushindana na zari km mungu hajakujaalia si usubiri tu kuliko kufanya vituko na umri wako sio mkubwa kukata tamaa
ReplyDeletemange kadoda marekani bwanake kamuacha na watoto anakalia kutoa ushauri wa kinafiki ili apate kiki,marafiki wa mange ni wa ovyovyo tu hana hata marafiki wa maana na kujishaua kumbe kidamba tu wa marekani.
ReplyDeletemhhhhh
ReplyDelete