Mange Kimambi Amshukia Hoyce Temu..Adai Anafanya Mipango ya Chini Chini Mange Arudishwe (Deported) Tanzania Kwa Kumtukana

Hoyce Temu Akiwa Kazini...
Wakati tukifikiria kuwa mambo yameisha na kutulia beef la Mange na mdogo wake Hoyce Temu, Mange siku ya jana ameibuka na shutuma zingine kwa Hoyce Tema...Ameandika Haya Kwenye ukurasa wake wa Instagram..

From Mangekimambi_

Siku zote omba ugombane na Mtu ambae atakujibu, wanaokaa kimya ni wabayaaaaaa hujapata kuona. Kama vile ile issue yangu Na Shamim Mwasha watu walimsifia anakaa kimya sijui anajiheshimu Kilichotokea nini? Akanijia na bastola Na mume wake! Sasa si bora mtu anaetukana kuliko hawa ambao wako tayari kutoa Mtu roho. Ndo issue yangu Na Hoyce Temu unapokwenda

Jamani Hoyce anataka niwe deported , yes anataka nirudishwe Tanzania sabbau nimemtukana. Kaenda Polisi kaona haitoshi unaambiwa kaacha Kazi zoooote now Kazi yake Ni kumake sure napandishwa ndege narudishqa Tanzania eti sabbau nimemtukana yeye boss lady .

Hoyce kaenda Kwa Waziri wa mambo ya ndani,personally anamuomba afanye anavyoweza nirudishwe. Ikashindikana bidada akaenda Mpaka ubalozi wa marekani anaomba nirudishwe. Duh, Yani ningekuwa sina makaratasi Ndo angekuwa kanichomea Yani. .

Imagine kakaa kimya kumbe anapigana vita ya kufa Mtu Yani yuko tayari niwe deported. .

We Hoyce Temu, mdogo wako anavyotukana watu 24/7 Mbona humpeleki Polisi? Mdogo wako akitukana familia za watu it's okay Ila wewe ukitukanwa unataka kufa. .

Una haraka ya nini Mimi kuwa deported? Na siwezi kuwa deported kwa kesi ya kijinga hivyo! I'm on American soil nimevunjaje sheria za Tanzania??? . Tanzania is my country unadhani ntaikimbia Nchi yangu sababu ya ujinga wa insta? I will come back na tutakutana kizimbani! Kuna kitu kinaitwa provocation kwenye sheria. Mtu katukana familia yangu na mimi nikatukana familia yake. Period.

Hoyce all I can tell you is Achana Na Mimi. I have nothing against you. Unataka nirudishwe na Mimi nikisema nataka ufukuzwe Kazi huko UN? Unataka nitoe criminal records zako za marekani publicly? Unadhani nilikuwa nimemaliza siku zile? Sema SU niweke records zako za Marekani, hao UN nao sijui hawafanyagi background checks! So pls achana na Mimi, kufanya Kazi UN ndo you think unaweza kuwafanya wamarekani wanirudishe Tanzania. Tanzania ntarudi mwenyewe. .

Umekaa una deal Na Mange badala udeal na ndugu yako. Yeye asingeanza kutukana familia za watu Nani angetukana familia yenu?

Hakunirudisha Lowassa utanirudisha wewe? Mfyuuu!" Mange Kimambi

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lowasa hana muda na wewe matako kimavi.

    ReplyDelete
  2. Jamani mimi mwenzenu kwa Mange inabidi niseme POOOOOOOOOO!
    Hashauriki,sijui ana nini,NGACHOKA!

    ReplyDelete
  3. Hoyce achana na Mange,ukimfuatilia itakuwa sawa na mtu mzima kumfukuza chizi.mkanye mdogo wako

    ReplyDelete
  4. Wabongo banaaa kitu kidogo wanakimbilia wenzao wawe deported mnafikiri mmarekani ana deperte mtu kichwakichwa,,,anafauta sheria haijalishi wewe unatoke mchi gani,,,Halafu Hoyce wakati mdogo wako ana mtukana Huyo njitibwa Obama mbana ulikaa kinya????fanya kazi weee achana na Mange yule ni Full kichaaa atazidi kukuacha uchi,,,,au unataka atoe na criminal recod yako Ukose kazi UN???acheni yjinga tafuteni riziki.

    ReplyDelete
  5. mange anachukulia atukane watu kwasababu anakaa AMERICA hawezi kukamatwa,lakini ana Green card tu sio Raia wa marekani ana kibali cha kuishi tu kwa hiyo ubalozi wa tanzania unaweza kumchukua tu na hivi anapass ya kibongo anapanda ndege kama analia,

    ReplyDelete
  6. nani ataloose kati ya hawa wawili,deportation na akae jela,na green card itupwe huko,au afukuzwe kazi na apate nyingine,Mange uache kutukana watu,sababu ipo siku utakuwa pabaya na utashindwa kujitoa utaacha watoto wako wanahangaika for nothing

    ReplyDelete
  7. We mange naomba naomba muache lowasa kipenzi chetu hukumtukana peke yako mlikuwa wengi na hakujibu na kwahilo katufundisha wengi uvumilivu...naomba muache apumzike tutakutana 2020

    ReplyDelete
  8. mange usiwaogope komaa wasikuonee wao wakutukane wewe halafu wanakufatilia ili iweje sasa. mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. mwacheni mange wa watu,, ukiweza na wewe nenda kaishi marekani huwezi kaa kwenye nchi yako, na elimisha jamii yako iache kutukana watu ovyo ukianzia kwa rechomiwaya.

    ReplyDelete
  9. Hoyce angetoa boriti kwenye jicho lake ndio kibanzi kwenye jicho la mwenzake.Mdogo wake ndio chanzo cha yeye kuingia kwenye hili sakata.

    ReplyDelete
  10. mange kimambi hongera sana kwa kuwataja wauza unga wanaokuna kichaa achana nao kuuza unga ni dhambi kubwa sana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad