Mange Kimambi Amshukia Wema Sepetu Tena...Adai Wema Anapoteza Muda tuu Kwa Huyo Mkongo Afadhali ya Idris


Mange Kimambi Afunguka tena.....

"Jamani nimechokaaaaaaaaaaa kuulizwa kuhusu Wema na hili njemba, sijui terrorist atajijua mwenyewe...

I don't know anything.And I don't want to know.... All I can do is pray kuwa sio Kweli maana hapa Wema ndo atakuwa kapoteaaaaaaaa.Janaume mishow off tu, upuuzi mtupu! Yani jinga flani... .
Team Wema mmepanick Mpaka , listen hamuwezi kumpangia Mtu Maisha yake Ana akili zake Yule!!!!!! Mnaosema Wema hawezi kutulia sijui Malaya , Hana umalaya wowote anaweza kutulia vizuri. Kila mwanamke Ana Mtu wake wa kumtuliza. Nyie wenyewe mlihangaika Na boyfriend wangapi kabla hamjatulia Kwa waume zenu?

Hivi mmesahau enzi za CK, Wema Mbona Alitulia Kama maji ya mtungini, she was private miaka watu hawajui yuko Na Nani , media ilibidi ichokonoe Kweli Kweli ku found out..Yani love life yake ilikuwa private.Watu tulikuwa tu nashangaaa anakula bata hatuelewi. That's how it should be. That means Wema anaweza sana kutulia Na Mpaka tukamsahau... Enzi za CK alikua business woman Hana drama wala nini ni yeye Na kampuni yake...... Alivyo rudi tu Kudate vijana wenzie , wasaniiiii wenzie balaaa likarudi pale pale... .seriously nyie Kumbukeni tofauti ya Wema enzi za CK na alivyo rudi Kwa Watoto wenzie. The difference is huge!

Idris is a great guy I like him but he is too young kumtuliza Wema. I wish them the best though . Mwanaume wa kumfanya Wema atulie will be a millionaire, mkubwa na Mtu very down low dizain za Yule CK , Ila hawa watoto wenzie wa kumpa laki kwa mwenzi watakimbizana kila siku.. Ukweli ndo huo. Hamuoni kina Kyln walivyobadilika 360 degrees? Ukiwa Na Mtu mwenye heshma zake na mihela yake you become another person! Ila kumwita Malaya sijui nini wala sio, sababu woooote tunajua anajua kutulia vizuriiiii Mpaka tukamsahau yuko mjini! Sometimes tuweni wakweli tu Jamani mwanaume ukiwa Na hela utamtuliza hata Malaya wa Jollies, atavaa hata baibui. Bila hela mwanaume utasumbuliwa tu.

Hili Dudu baya la Congo hamna kitu hapo! Wastage of time ! Hana pesa yoyote! Na hata Kama ana pesa sio mwanaume wa kutulia nae.Mashauzi ya kitoto tu! Janaume halina Siri kuposti mipicha na caption za kitoto' Mange Kimambi

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Beware!A Bicht broke loose again

    ReplyDelete
  2. pesa sio kigezo cha mwanamke kutulia unamshauri mwenzako ujinga
    basi aendelee kuitembeza nyapu mpaka akutane na huyo mwenye pesa
    wema asipojiheshim akuna mwanaume atakae muheshim
    hata hvy wema anapenda wwanaume mabishoo wenye kupenda show off kama idriss
    mwache mkongo ajilie vyake
    badala humshauri afanye ibada amwombe Mungu wee umebakii pesa pesa tuu
    loserr!

    ReplyDelete
  3. Hahahahhaaaa eti bilionea sio zama za magufuli,asipotulia mwenyewe atachezewa sana mjini kama hakujenga enzi za ck asubiri awamu nyingine sio magu

    ReplyDelete
  4. Mange kimavi shenzy type yaani unachoongelea wewe ni hela tu?kweli dunia imekwisha yaani nawaonea huruma wanao mfollow huyu mwanaharamu kimavi,wazazi wetu wangekuwa hii dunia tungesipozaliwa wengine.

    ReplyDelete
  5. Pesa pesa !!!shwetwain mkubwa wewe ndio ushauri gani,alafu unampa ishauri kama kylin mnaishiwa kuolewa na vibabu,mtakufa vibaya nyie wana haramu.

    ReplyDelete
  6. WW Mange unaonyesha unapenda Sana pesa mbona mzungu wako Hana pesa chokaaaaa mbayaaa.na huyo malaya mwenzio hawezi kupata millionea wa haina yoyote kwa uzuri gani alikuwa nao choka mbaya mchukue huko marekani akabebe box au kuosha vizee final

    ReplyDelete
  7. Mange ana think na ku behave kichangu kama Wema. Badala ya kumshauri afanye kazi anamshauri atafute wanaume wenye pesa. CK alikuwa mume wa mtu. Ana faida gani kumtaja ? Huyo Mange mwenyewe alikuwa changu dubai. Akampata Lance licha ya kumroga na kumzalia ndoa yake imeota mbawa. So shut up Mange mfyuuu

    ReplyDelete
  8. Fanya kazi zako. Achana nawema. Umakuwa lijingajinga kila saa kuandika kuhusu wema. Hivi huna kitu kinakukeep buzy? Njoo kwetu tukipe kazi Huo muda wa kukaa inaamdika Article za wema hutokuwanao.

    ReplyDelete
  9. Mange mwenyewe malaya tu anmfundisha kufanya uchangu Wema makubwa haya, kama anataka huyo michirizi apate milionea si amuunganishie na ndugu yake kile chinene si anasema ndugu yake ana pesa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad