Yona, Mramba wakabidhiwa vifaa vya usafi hospitali ya Palestina.
Mawaziri wa zamani Basil Mramba na Daniel Yona wameripoti katika hospitali ya Sinza Palestina na kukabidhiwa vifaa kwa ajili ya kufanya usafi.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliridhia waliokuwa Mawaziri wastaafu Basil Mramba na Daniel Yona kutumikia adhabu ya kifungo cha nje kwa kufanya usafi katika maeneo ya kijamii ikiwemo Hospitali ya Sinza Palestina.
Fyuu
ReplyDeleteTutaiba wengi
kwa kweli kama adhabu zenyewe ndo hizi hata mimi ntaiba tu maana hakuna namna.....
ReplyDeleteUsanii mbele kwa mbele,hahahahaha booooonge la movie
ReplyDeleteUsanii mbele kwa mbele,hahahahaha booooonge la movie
ReplyDeletedah!hv sheria ni msumeno kweli...?
ReplyDeleteHeshima ya Mramba ndani ya Taifa hili tangu mwalimu had Kikwete sio mchezo, mm nilikuwa kilanja mkuu shule ya msingi lakini nilipotolewa kwa tuhuma mbalimbali na kuanza kupata adhabu kama wanafunzi wenzangu nakuambia usiombe maana aibu yake ni mbaya sana heri kukaa ndani kuliko kufanya hiyo kazi
ReplyDeleteKabisaaaaaaaaaaaaaaaaa.
DeleteMiaka 2 ndani sio mingi,kuliko kushurutishwa kufanya usafi.