Mawaziri Yona na Mramba Waanza Kutumikia Kifungo cha nje...Wakabithiwa Vyombo vya Usafi


Yona, Mramba wakabidhiwa vifaa vya usafi hospitali ya Palestina.
Mawaziri wa zamani Basil Mramba na Daniel Yona wameripoti katika hospitali ya Sinza Palestina na kukabidhiwa vifaa kwa ajili ya kufanya usafi.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliridhia waliokuwa Mawaziri wastaafu Basil Mramba na Daniel Yona kutumikia adhabu ya kifungo cha nje kwa kufanya usafi katika maeneo ya kijamii ikiwemo Hospitali ya Sinza Palestina.
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Fyuu
    Tutaiba wengi

    ReplyDelete
  2. kwa kweli kama adhabu zenyewe ndo hizi hata mimi ntaiba tu maana hakuna namna.....

    ReplyDelete
  3. Usanii mbele kwa mbele,hahahahaha booooonge la movie

    ReplyDelete
  4. Usanii mbele kwa mbele,hahahahaha booooonge la movie

    ReplyDelete
  5. dah!hv sheria ni msumeno kweli...?

    ReplyDelete
  6. Heshima ya Mramba ndani ya Taifa hili tangu mwalimu had Kikwete sio mchezo, mm nilikuwa kilanja mkuu shule ya msingi lakini nilipotolewa kwa tuhuma mbalimbali na kuanza kupata adhabu kama wanafunzi wenzangu nakuambia usiombe maana aibu yake ni mbaya sana heri kukaa ndani kuliko kufanya hiyo kazi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa.
      Miaka 2 ndani sio mingi,kuliko kushurutishwa kufanya usafi.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad