Mbunge wa arusha mjini Godbless lema amesema leo bungeni swala la Zanzibar si la kichama,Ni swala la nchi na lisipotafutiwa ufumbuzi lina athari kwa kila mtu,
Lema ameenda mbali zaidi na kuwaambia Wabunge Wa CCM hii nchi ikiharibika hata watoto wao wataharibikiwa na hawawezi kukaa madarakani kwa maisha yao yote.
Lema amemtolea mafano mbunge Marry nagu na kumwambia akumbuke serakali iliyopita alikuwa waziri,Lakini leo naye anauliza maswali ya nyongeza.
Lema alienda mbali zaidi na kumwambia Mwenyekiti wa bunge Chenge asijione ni mdogo wake mungu kwa kukalia kiti cha spika.
Mbunge Godbless Lema Awachana CCM Laivu....Hawawezi Kukaa Madaraka Kwa Maisha yote
7
February 05, 2016
Tags
mmezidi na nyie kulala khaa
ReplyDeletewananchi tuna kero kibao maji, hospital,ajira mambo kidede
nyie kazi yenu kulalama tuu bungeni
hii imizeni serikali itutatulie kero zetu basii
pumbaaaaaaa puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!
Deletefanya kweli Mh Lema, wapashe hao!
ReplyDeleteMipasho ya nini?kwa nini msiongee mambo muhimu tuliowatuma?Igeni mfano wa Zito,Mbatia.
ReplyDeletemijitu ya ukawa ni mipasho tuu
ReplyDeleteundeni bendi ya tarabu basi pumbavu nyie
mhhhhhh, ni mipashooo kwenda mbeleeeee, watake wasitake!!!!!
ReplyDeletenasikia raha mpaka kwenye mifupa. ndiyo maana ccm hawakupendi mheshimiwa lema.haya madongo ya chuma unayowapa ccm bungeni yanawaingia na kuwachanganya,hawana pa kutokea.wanajisahau na kujifanya super-naturals kumbe kwetu wananchi ccm ni wezi wakubwa wa kura,wapindua ukweli na ving'ang'anizi balaa.balaa kupindukia.waoneni kwenye umea arusha na dar,wanatia aibu kubwa.
ReplyDelete