Mbunge Godbless Lema Awachana CCM Laivu....Hawawezi Kukaa Madaraka Kwa Maisha yote

Mbunge wa arusha mjini Godbless lema amesema leo bungeni swala la Zanzibar si la kichama,Ni swala la nchi na lisipotafutiwa ufumbuzi lina athari kwa kila mtu,

Lema ameenda mbali zaidi na kuwaambia Wabunge Wa CCM hii nchi ikiharibika hata watoto wao wataharibikiwa na hawawezi kukaa madarakani kwa maisha yao yote.

Lema amemtolea mafano mbunge Marry nagu na kumwambia akumbuke serakali iliyopita alikuwa waziri,Lakini leo naye anauliza maswali ya nyongeza.

Lema alienda mbali zaidi na kumwambia Mwenyekiti wa bunge Chenge asijione ni mdogo wake mungu kwa kukalia kiti cha spika.

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mmezidi na nyie kulala khaa
    wananchi tuna kero kibao maji, hospital,ajira mambo kidede
    nyie kazi yenu kulalama tuu bungeni
    hii imizeni serikali itutatulie kero zetu basii

    ReplyDelete
    Replies
    1. pumbaaaaaaa puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!

      Delete
  2. fanya kweli Mh Lema, wapashe hao!

    ReplyDelete
  3. Mipasho ya nini?kwa nini msiongee mambo muhimu tuliowatuma?Igeni mfano wa Zito,Mbatia.

    ReplyDelete
  4. mijitu ya ukawa ni mipasho tuu
    undeni bendi ya tarabu basi pumbavu nyie

    ReplyDelete
  5. mhhhhhh, ni mipashooo kwenda mbeleeeee, watake wasitake!!!!!

    ReplyDelete
  6. nasikia raha mpaka kwenye mifupa. ndiyo maana ccm hawakupendi mheshimiwa lema.haya madongo ya chuma unayowapa ccm bungeni yanawaingia na kuwachanganya,hawana pa kutokea.wanajisahau na kujifanya super-naturals kumbe kwetu wananchi ccm ni wezi wakubwa wa kura,wapindua ukweli na ving'ang'anizi balaa.balaa kupindukia.waoneni kwenye umea arusha na dar,wanatia aibu kubwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad