Mgombea Urais wa Marekani Anayeichukia Africa na Aliyeahidi Kuwatupa Jela Museven na Mugabe Azidi Kupeta Uchaguzi wa Marekani

Donald Trump ameshinda tena katika jimbo la Nevada. Ni mfulilizo wa kushinda katika majimbo matatu na hivyo kuwa kidedea kwa chama chake cha Republicans akiashiria kuteuliwa na chama hicho kuwa mgombea wake wa kiti cha uraisi.


Source: CNN

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nakuombea upite nakupenda sana nikiona hiyo picha yako nahisi wewe ni magufuri part II unachukia ufisadi na ujinga wewe ni jembe Mungu akujalie.... sisi waafrika tuna matatizo sana japo hatujijui., ingia madarakani utushughulikie.. hapa kazi tu!

    ReplyDelete
  2. Kura za maoni sio issue subiria mdahalo wa mwisho na kura za wananchi ndio atajua kama kapeta au kapetwa.

    ReplyDelete
  3. Sahihisha kichwa chako cha habari ndugu muhandishi haichukii Africa bali anawachukia viongozi/wanasiasa wa kiafrika katika karne hii ambao bado tu wanawagandamiza wenzao kama enzi zile za wakoloni waliotoka katika bara la Ulaya wakati nchi zote za Africa zipo huru na zinaongozwa na viongozi weusi kwa nini wawagandamize weusi wenzao bila ya huruma wala uoga kwa kujilimbikizia mali wao peke yao na familia zao wakati raia wao wengi hawana kitu kabisa wanawapita kila siku walala hoi njiani wakiwa wamejifungia ndani ya magari yao ya kifahari IC kama kawa yaliyonunuliwa kwa fedha za kifisadi inatia uchungu sana sana sana sana

    ReplyDelete
  4. Noma sana kumgeuza mwananchi mwenzako aishi kama mkimbizi kwenye nchi yake mwenyewe wewe unapeta yeye anateseka kila siku toka vizazi kwa vizazi vyake

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad