Mgombea wa Urais Marekani Donald Trump Aitukana Tena Africa..Adai lazima Itawaliwe Tena na Mkoloni...

Donald Trump: “There Is No Shortcut To Maturity, Africa Should Be Recolonized”

American business mogul Donald Trump has said that Africa needs to be recolonized. This time around he has directed his anger to African leaders who according to Trump, have failed to exercise leadership and are keeping their people in worse conditions.

Speaking yesterday in Nebraska, Trump said that Africans are slaves living like slaves in their own land yet they claim they are independent.

Trump was responding to a question by a South African journalist on whether he thinks African leaders were right to seek mass withdrawal from the Hague based International Criminal Court.

“It is shameful for African leaders to seek exit from ICC. In my view, these leaders want to have all the freedom to oppress their poor people without anyone asking them a question. I think there is no shortcut to maturity and in my view, Africa should be recolonized because Africans are still under slavery. Look at how those African leaders change constitutions in their favour so that they can be live presidents.

They are all greedy and do not care about the common people” Said Trump
“When I saw them gang up against ICC yet they can’t even find an amicable solution for the ongoing quandary in Burundi, I thought to myself these people lack discipline and humane heart. They can’t lead by example. The only thing they are interested in is accumulating wealth from poor tax payers. Before they think of exiting from ICC, they should first restore peace in Burundi and other war-tone countries rather than gathering like hyenas with the aim of finishing the poor people” Added Trump.

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bora tutapata maendeleo
    Viongozi wengi wa kiafrica malafi hawaangaliiiiiiiii maendeleo yetu
    Bali ni ufisadi

    ReplyDelete
  2. He is right mr Trump

    ReplyDelete
  3. I give hand to this Mongul,he is very right.

    ReplyDelete
  4. Usilolijua Ni ucku WA giza,inshort nkupe mwanga kidogo,migogoro mingi inayoendelea Africa inasababishwa na mataifa ya ulaya kupandikiza viongozi wao ili tunapopigana wapate nafasi ya kuja kutoa misaada lakini kwa upande mwingine kuchukua rasilimali zetu za asili mfno madini, mafuta, nk angalia Nigeria ,Libya, Congo ,Sudan nk ,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa gamma viongozi wenyewe kungangania madaraka

      Delete
    2. Mbona Africa kusini hawaigusiiiiiiiiiiiii

      Delete
    3. Kama mtu anauwezo kukupandikizia watu kwenye Gvt yako basi amekuzidi akili, PIA rasilimali wanachukua siku zote na tuna jua Hilo na hakuna hatua zozote tunazo chukua inamaana Bado hatuna uwezo wakujiongoza we better be colonized for another maybe 50 years

      Delete
  5. Well done Mr Trump

    ReplyDelete
  6. apo trump amewasema wale viongozi wahuni wa africa
    wala hajaitukana africa
    mwandishi acha kupotosha

    ReplyDelete
  7. Tutakupa kura USA uwakomeshe viongozi WA kiafrica hasa wasio Na tume huyu ya uchaguzi Kama Tanganyika Na Zanzibar

    ReplyDelete
  8. Mwandishi acha kupotosha uma au lugha gongana?

    ReplyDelete
  9. Anza Na Zanzibar Na Tanganyika

    ReplyDelete
  10. Yupo tayari Mimi nataka kutawaliwa Na mwingereza Mr Trump oyeee bora wajage tuu naana haya majibu hayaishi leo

    ReplyDelete
  11. Viongozi wenyewe wanasikia. Kama wa awamu ya nne hawezi kukaa na Trump. Hata zungumza atashindwa. alichosema Trump ni ukweli mtupu. Watanzania, Raisi wa nne aliichukua nchi ikiwa na Amani. yupo kimya anaiangalia Zanzibar. Mwiteni basi trump aongee na maraisi wetu. Atawaweka sawa na atatoboa kila sri zao. Demokrasia, uhuru, unanyimwa. Maraisi wa Afroica lazima wengi wao wafunguliwe majarada. Akipita uraisi mkaribisheni Tanzania atawaweka sawa hadharani wala hawatafua dafu. Afrika inaogopana sababu hakuna sheria. Ni lazima hii ibadilike. Elimu za chini na ujinga wa kufikiri. Wengi wanawatetea maraisi na kuwahemekea kama miungu. Elimu za kibiashara hawana. Na wanawanyima wale wenyeuwezo wa kazi hizo na kuwateua mambumbumbu hata sifa hawanazo. Kwa namna hii Taifa linabaki gizani sababu wengi hawana visomo vya kuelewa Trump anayoyasema. Vitoto vya wakuu na wake zao hata elimu za juu hawana wanateuliwa kuwa mawaziri. Watafanya nini. Marekani watu wanagoma na kusema huyu uliyemchagua hana sifa. Tamnzania haina uhuru huu.
    Angalia maraisi walivyohangaika kwenda nchi za nje kutafuta wanyonyaji wawekezaji badala ya kutoa Elimu kwa watu wao na kuwasaidia. Hili linajionyesha wazi uduni wa kufikiri, uhaba wa wa elimu na kutokujua mipangilio ya nchi bila kutegemea Wazungu. Wazungu wanawajua hawa watu hawana elimu safi, hawana fikra, hawajui wanauhuru, hawalitambui hilo. Wacha wapelekwe mahakamani wakajibu maswali. Ni aibu kwa Taifa zima kukubali kuendeshwa na watu wa namna hii. Inamaanisha wote ni wapumbavu. Je bado hamtailazimisha katiba ya wananchi itumike muwapeleke hawa watu jera? Huu ndio uhuru wa kusema. Wakamfunge basi Trump.

    ReplyDelete
  12. Am ready maana tutaacha kuleta uhuni bungeni kuzozana tuu wenzetu mabunge Yao heshima kila mtu anajua kitu gani kimempeleka pale sio sisi Bunge la mipasho bora walivyokatiwa chakula wasile kabisa hakuna wanachofanya

    ReplyDelete
  13. True they r so greedy.

    ReplyDelete
  14. Outer layer he is RIGHT , but from his deeply heart is wrong !! because is racist!!!!!!

    ReplyDelete
  15. Well he spoke publcally with full speed. Let our presints answer directly to Trump. Let them meet and debate. Whether he means or not but it allow people to see the truth for themsems and this is why the freedom of speech is undiniable. It opens up conversations which helps to correct the system itself. Instead of looking at it as negative be calm and reflect the truth out of it snd of it.

    ReplyDelete
  16. Come come on Trump tuko tayari baba njoo tutawale bora kutawaliwa na mkoloni mweupe kuliko kutawaliwa na mkoloni mweusi

    ReplyDelete
  17. Nakubaliyana na Mr Trump kabisaaa mana maraisi wa Africa hawajielewi

    ReplyDelete
  18. Ukweli unaumma!! Alicho sema ni ukweli mtupu, nashangaa wewe mwandishi usiyekuwa na elimu unasema kaitukana Afrika!! Unajua maana ya kutukana??
    Kasema ukweli mtupu, ametukana nini?? Afrika tuna kila kitu lakini bado tunaombaomba. Ngoja nikwambie maana ya kutusi Afrika: Ni kutupatia nguo mbovu za mitumba,magari mabovu ya misaada, kutwambia kuwa eti tuwapokee wasenge na wasagaji na mambo mengine mengi ambayo siwezi kuyaandika. Ngoja niongezee lingine viongozi wengi kukimbilia kutibiwa nchini kwao uko ulaya bila ya kuwajali wagonjwa wengine walio waacha nchini mwao!!
    Mwandishi sijuhi kama unajua tofauti ya kuambiwa ukweli na kutukanwa. Kama watu wengine wanamawazo kama ya kwako basi tena Afrika itaendelea kuyumba. Mpaho waitu.

    ReplyDelete
  19. HAPO ANAMSEMA KIKWETE ALIEKUWA PUMBAFU ATI ANATIBIWA OSA WAKATI YEYE NDIO RAIS NA KWAKE NCHINI HOSPITALI INANUKA FUNZA HSME ON YOUU AFRICAN LEADERS, MANATAKIWA WOTE MWENDE MOTONI ABAKI MAGUFULI PEKE YAKE

    ReplyDelete
  20. HAPO ANAMSEMA KIKWETE ALIEKUWA PUMBAFU ATI ANATIBIWA OSA WAKATI YEYE NDIO RAIS NA KWAKE NCHINI HOSPITALI INANUKA FUNZA shaME ON YOU AFRICAN LEADERS, MNATAKIWA WOTE MWENDE MOTONI ABAKI MAGUFULI PEKE YAKE.

    washenzi wakubwa hata wazungu wanaanza kutushtujia sasa

    ReplyDelete
  21. Thump up.Mr.Trump hawa viongozi wamejaa na tamaa na ukiukaji wa haki za binaadamu... issue of withdrawal frm ICC halingeshughulikiwa na maraisi maana hao ndio wakiukaji wakubwa wa haki za binaadamu kujitoa inamaana tunawapa uhuru wakutekeleza maovu yao..

    ReplyDelete
  22. jamaa kasema ukweli mtupu. Hakuna kutukana hapa. Angalia mijitu kama nkurunziza na yule kisiwani wote hawajali maslahi watu na taifa kwa ujumla wao bali wizi tu na kujilimbikizia mali ambazo ni kodi za wananchi, Huyu Jamaa bora awe rais wa US aje atutawale tujifunze kwanza, hatujaweza kujitawala na kuuishi uhuru tuluiopata kupitia akina nyerere ambao hata wao leo wangekuwepo wangesikitika kuona africa walioipigania inavyoporwa na vijana waliowaachia nchi hizi.

    ReplyDelete
  23. nyie mnaosema eti viongozi wa mataifa wanatuchonganisha. hivi wewe na familia yako, jirani anakuchonganisha wewe na familia yako kwa maslahi yake, nani mjiga wewe unaekubali kuchonganishwa au yeye?
    Msiwatete viongozi wa africa, wacha tuaibike

    ReplyDelete
  24. Hahahahahah!!!! Hii nimeipenda. Ati wanajikusanya kama fisi kuwanyonya wanyonge badala ya kulinda amani.Viongozi jisahihisheni badala ya kudai mmetukanwa.Huo ni ukweli mtupu viongozi kuishi ka wako peponi na kujifanya hawaoni dhiki za wanyonge, umefika wakati Mungu kuwainua watu wa kulishughulikia hilo na kuwaacha wakidhalilika maisha yao yote.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad