Mnyika Tumekupa Madiwani Wote, Watendaji Wote Lakini Barabara Hazipitiki

Mimi ni mkazi wa Mbezi Makabe naandika haya kwa uchungu sana jinsi barabara yetu ilivyo mbovu na hakuna mtu hata mmoja anaiangalia. Barabara ya kwenda Mbezi Makabe imekuwa mbovu mbovu. Haipitiki kabisa.

Hii barabara inayoanzia kituo cha zamani cha daladala Mbezi Mwisho kwenda Makabe-Msakuzi.wananchi wanataabika. Wanakaa zaidi ya masaa 3 barabaran kusubiri daladala. Daladala zimekimbia kutokana na ubovu wa barabara.

Magari ya watu binafsi nayo yanapata shida sana. Maji tunayonunua kwenye malori nayo yamepanda bei. Tunauziwa lita 1000 sh. 15 hadi elfu 20.Mbunge tuliempa kura nyingi na madiwani wote hatuwaoni jimboniMh. Mnyika wananchi walikuchagua wanapata shida.

Tunakuomba angalau lipitishwe greda tu. Wananchi wapo tayari kuchangia.Hali ya barabara ni Mbaya ni Mbaya ni Mbaya.Huduma za kijamii zimepanda. wananchi wamekata tamaaa.

Tafadhali Mh Mnyika, hii la barabara na Maji Makabe ni jipu. Rudi jimboni saidia wananchi.

By trplmike/Jamii Forums

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Replies
    1. Unaushahidi kama ni CCM waliolalamika mnapoambiwa ukweli na watu waliowachagua wa shida mnasingizia CCM kama unaukweli thibitisha kama kweli barabara sio mbovu na maji siya shida wakati wa kampeni na ushabiki umekwisha wacha wabunge wawatumikie waliowatuma.

      Delete
    2. Anony wa 1.58pm umenena haswa, sasa hivi siyo wakati wa kampeni ni wakati wa kufanya kazi na hiyo barabara iliyoelezwa hapo juu ni mbovu kupita maelezo, sasa huyo pumba wa 12.40pm anazungumza ujinga eti ni CCM fanyeni kazi acha ushabiki wa kisenge

      Delete
  2. Ccm pambavu zenu watu ndio kwanza wameapishwa ili waanze utendaji wao nyie mnaleta majungu,hizo hela mnafikiri wanatoa matakoni kwenu?si mpaka maombi serikalini yapitishwe?

    ReplyDelete
    Replies
    1. sisi wapumbavu wewe ni msenge tena hanithi ngoja mnyooke washenzi wakubwa, kwani ukitaka kyfanya maendeleo mpaka usubili mfuko wa mtu mwingine? mbona mbunge wa mikumi ameshaanza kazi bila kusubili hela ya mfuko mwingine??? shenzi kabisa jifunze kuandika

      Delete
  3. Mambululaaaa tupo wengi

    ReplyDelete
  4. Jamani bado mapema acheni lawama zisizo kuwa na msingi

    ReplyDelete
  5. Miaka 50 na ushee ya CCM....Upinzani ndio ulioibua ufisadi na wizi. CCM iko mfukoni mwa waarabu na wahindi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad