Mimi ni mkazi wa Mbezi Makabe naandika haya kwa uchungu sana jinsi barabara yetu ilivyo mbovu na hakuna mtu hata mmoja anaiangalia. Barabara ya kwenda Mbezi Makabe imekuwa mbovu mbovu. Haipitiki kabisa.
Hii barabara inayoanzia kituo cha zamani cha daladala Mbezi Mwisho kwenda Makabe-Msakuzi.wananchi wanataabika. Wanakaa zaidi ya masaa 3 barabaran kusubiri daladala. Daladala zimekimbia kutokana na ubovu wa barabara.
Magari ya watu binafsi nayo yanapata shida sana. Maji tunayonunua kwenye malori nayo yamepanda bei. Tunauziwa lita 1000 sh. 15 hadi elfu 20.Mbunge tuliempa kura nyingi na madiwani wote hatuwaoni jimboniMh. Mnyika wananchi walikuchagua wanapata shida.
Tunakuomba angalau lipitishwe greda tu. Wananchi wapo tayari kuchangia.Hali ya barabara ni Mbaya ni Mbaya ni Mbaya.Huduma za kijamii zimepanda. wananchi wamekata tamaaa.
Tafadhali Mh Mnyika, hii la barabara na Maji Makabe ni jipu. Rudi jimboni saidia wananchi.
By trplmike/Jamii Forums
Mnyika Tumekupa Madiwani Wote, Watendaji Wote Lakini Barabara Hazipitiki
8
February 13, 2016
Tags
CCM hao
ReplyDeleteUnaushahidi kama ni CCM waliolalamika mnapoambiwa ukweli na watu waliowachagua wa shida mnasingizia CCM kama unaukweli thibitisha kama kweli barabara sio mbovu na maji siya shida wakati wa kampeni na ushabiki umekwisha wacha wabunge wawatumikie waliowatuma.
DeleteAnony wa 1.58pm umenena haswa, sasa hivi siyo wakati wa kampeni ni wakati wa kufanya kazi na hiyo barabara iliyoelezwa hapo juu ni mbovu kupita maelezo, sasa huyo pumba wa 12.40pm anazungumza ujinga eti ni CCM fanyeni kazi acha ushabiki wa kisenge
DeleteCcm pambavu zenu watu ndio kwanza wameapishwa ili waanze utendaji wao nyie mnaleta majungu,hizo hela mnafikiri wanatoa matakoni kwenu?si mpaka maombi serikalini yapitishwe?
ReplyDeletesisi wapumbavu wewe ni msenge tena hanithi ngoja mnyooke washenzi wakubwa, kwani ukitaka kyfanya maendeleo mpaka usubili mfuko wa mtu mwingine? mbona mbunge wa mikumi ameshaanza kazi bila kusubili hela ya mfuko mwingine??? shenzi kabisa jifunze kuandika
DeleteMambululaaaa tupo wengi
ReplyDeleteJamani bado mapema acheni lawama zisizo kuwa na msingi
ReplyDeleteMiaka 50 na ushee ya CCM....Upinzani ndio ulioibua ufisadi na wizi. CCM iko mfukoni mwa waarabu na wahindi.
ReplyDelete