Staa wa Filamu Bongo, Kajala Masanja amesema kuwa mambo ya kimjini kama wafanyavyo mastaa wengine kwa sasa ameyapa mgongo kwa madai kuwa anaona anaelekea kuzeeka.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Kajala alisema kila anapojiangalia anaona kabisa alivyokuwa zamani sivyo alivyo sasa hivyo ana kila sababu ya kubadilika.
“Kiukweli najiona kabisa naelekea kuzeeka, ule usichana unapotea hivyo ni vyema sasa mambo mengine ya kimjini nikayapa kisogo. Kwenda klabu usiku nimepunguza na kuna siku nitaacha kabisa, nguo za ajabuajabu najifikiria mara mbilimbili,” alisema Kajala.
kweli kabisa kajala pumzika umeziona zote ndefu, fupi, vibamia na mitalimbo.. nyeusi na nyeupe wamechapa mpaka na wao wamechoka wamevuruga mbaya mpaka kipapa na kaabang vimekuwa shimo la takataka sasa tunashukuru umetangaza kustaafu. mrithishe na mwanao bac na ulishaanza kumpa introduction for management.
ReplyDeleteMakubwa
ReplyDeleteNi uwamuzi mzuri kama utatekeleza uliyo yasema. Naomba email yako, kama ukiweza kuipost hapa, nina maswali matatu. Sina niambaya nitashukuru sana. Asante.
ReplyDeleteyap
ReplyDelete