Jumamosi ya February 20 ulipigwa mchezo wenye upinzani na historia kubwa katika nchi hii, hiyo ndio siku ambayo ulipigwa mchezo wa Simba na Yanga, huu ulikuwa mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu Tanzania bara, mchezo ambao ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Simba. Lakini kuna baadhi ya mashabiki wa Simba wanasema refa aliipendelea Yanga na kumuonesha kadi nyekundu Abdi Banda.
Afisa habari wa Yanga Jerry Muro ana majibu haya kwa wale wanaosema Yanga ilipendelewa >>> “Baadhi ya mashabiki tumewasikia kwenye vyombo vya habari wakilalamika Yanga ilipendelewa, lakini niwaambie kocha wao ambae ni mtaalam Jackson Mayanja amehojiwa leo lakini hakusema refa alipendelea na kueleza kuwa kafungwa kwa sababu hesabu zake zilikataa, sasa wao na kocha nani mtaalam?”
Hii ndio video unaweza kumuangalia Jerry Muro akieleza kwa kirefu
Kuweweseka ruksa na hasa pale unapoingia uwanjani kwa kujiamini 100% halafu inakuwa tofauti,unafungwa.Mtusamehe jamani,INAUMA!
ReplyDeleteHalafu walikuwa wanajaa langoni kwao utadhani wamepanda miti.Ngoma,Tambwe mmetukomesha.HONGERENI WATANI ZETU.
Bora wewe umekubali,na ndio mchezo.
DeleteBinafsi simpendi MBWA HUYU, hana adabu hata kidogo, anapenda sifa na kujisifia ujinga, anamdomo mchafu kama 'JALALA',ana maneno ya kashfa ajabu, anamwaga mipasho kama Isha Mashauzi, nakumbuka alishawahi kuadhibiwa na TFF kwa hilo domo lake chafu, zikamtoka 5mio lakini hakomi, kwani tabia haina dawa. Kwa kifupi SIMPENDI, SIMPENDI, SIMPENDI!! Lakini jeuri yake ilimalizwa na wana-CCM wa Kawe pale alipotaka kugombea ubunge, walimvunjia-nazi miguuni akaangukia pua. Sipati picha angekuwa mbunge, hilo bunge lingezidi Modern taarabu!!
ReplyDeleteMbwa?mbwa anaongea?
DeleteMuogope Muumba wako,
kwani ni yeye aliyetenganisha unaemuita mbwa(Jerry)kwa kumpa ufahamu(utu)na mbwa akawa chini yake kwani Jerry amepewa mamlaka ya kuwamrisha wanyama wote akiwemo mbwa.
Halafu kwa jinsi ulivyotokwa na povu hapa naona na wewe pia una mdomo kama jalala.POLEEEEEEEEEE!
AMEVAA SUTI NA TAI KAMA 'BINADAMU', WAKATI HAKUNA MTU 'MSHENZI' KAMA JERRY. WAKICHAPWA WAO ANASEMA ILIKUWA 'BONANZA'
ReplyDeleteKwani nini maana ya UTANI wa JADI?Kwani na wewe ni wa mchangani?aaah wa matopeni?
DeleteKweli mabonanza mnayaweza sana,Hongereni.
EKOTITE!EKOTITE!
ReplyDeleteHahaaaaaaaaaaaa,KISIGINO HAKIKAI MBELE.
ReplyDeleteHapo chacha,nafya!