Mtoto wa Kanye West Amchanganya Wema Sepetu.....

Siku moja baada ya mastar wakubwa Kim Kardashian na Kanye West kupost picha ya mtoto wao wa pili aitwaye ‘Saint West’ ameonesha kumchanganya sana bidada Wema Sepetu kwa kile alichokifanya kwenye mitandao yake ya kijamii.


Wema Sepetu jana amepost picha zaidi ya tatu Instgram za mtoto huyo huku akionesha ni jinsi gani ametokea kumpenda mtoto huyo na kudai ni mzuri sana, lakini haikuishia hapo Wema Sepetu aliamua kuweka picha hiyo kwenye Profile yake Instgram na kuweka picha hiyo kama Wall Paper na Screen save kwenye simu yake.

“Gnyt now… But Kimberly Kardashian sio kwa mtoto mzuri hivi jamani. Kama Pipi…!!! Mashallah jamani… God…! You are Able…! Saint West mzuri mno jamani… Dis Baby Boy too pretty ooo” Aliandika Wema Sepetu.

Kutokana na kitendo hicho mashabiki wa Wema ambao wanafahamika kama Team Wema walianza kumfariji Wema na kumpa maneno yenye faraja na yenye kumtia moyo kuwa ipo siku na yeye atapata mtoto, kwani Mungu ndiye anapanga kila jambo.

“Mungu hutoa kwa wakati wake na kwa sababu zake. Kama alivyowaona wengine na wewe atakuona hivyohivyo. Naatakupa haja ya moyo wako. Mungu tu ndio atakae weza kukusaidia my dear wema. Worry out your time will come soon keep on hoping that I love u.” Aliandika Hoperitha Minja

“Usijali iposiku utakuja kuzaa na mwanaume wa furaha yako ulio mpenda na yeye akakupenda, ninavyo kupenda kama mtanzania mwenzako kilasiku nakuombea kwa Mungu akupe afya na maisha marefu uzidi kututungia kazi nzuri na zitambulike dunia nzima I love you Wema” Aliandika king._of_ma_love_davi

Ingawa si watu wote walipendezwa na maneno ya Wema Sepetu kumsifia mtoto huyo ndipo hapo aliwaamsha watu ambao wamezoea kumtolea maneno machafu na wanaotumia lugha chafu na za kuudhi si kwake tu bali hata kwa watu waliostaarabika na watu wenye utu, kwani wasingweza kutumia maneno ambayo wanajua wazi yanaweza kuumiza wengine.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wa kwanza ni Zari, anapenda kumtolea maneno mabaya Wema kisa yeye kazaa na Katunzi.

    ReplyDelete
  2. Kim na Kanye hawakujui. Acha kuwachulia. Fake star, Fake mimba, hahahahahh. Endelea kutafuta kiki mjini. Kidagaa kimekuozea mkononi. Siku ile ulienda clouds kutangaza mimba feki. Ulivyompana wa shughuli mpaka matambara ukavaa kwa Kiba na kutapika vimboga vyako vichaf chaf. Kinyaaaaa.Ptuuu. Haya timu ushuzi chambeni.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Akuchambe nani wewe ushachambwa na Mungu hujajijua tu!!

      Delete
  3. hata wewe umeshavaa matambala ulijuaje kama Wema alivaa. ustaa wa Wema unawasumbua sana bora yeye kafeki mimba je huyo alofake mtoto kumpa Domo.

    ReplyDelete
  4. Maskini hampui wala kujinawisha vipapa vyenu kwa kumuwaza Wema, fake ni yule bi kizee alombemenda mwanae wa kwanza.

    ReplyDelete
  5. Kawema.kazuri lakn...hata wewe ni fake mpaka unapodinywa ukitoa kilio huwa ni fake who doesnt fake...go to hell biyatch leave the gal alone...sina team tho

    ReplyDelete
  6. acheni upambe wa kumsifia huyo malaya fake fake fake drama queen mfyuuuu hana umaarufu wwt

    ReplyDelete
  7. Bb bomba tangia lini akawa gal? Haya umeshanoa jando la mCongo? Who is next? Mimba nyingine lini? Au unafua matamabara yako kwanza? Hahahahahaha. Fake mimba, fake star, fake men, fake houses, fake range rover. Mkome mtoto wa Kim na Kanye. Nani alikutuma ukivuruge kizazi??

    ReplyDelete
    Replies
    1. wew mwenyewe umeshatembea na wangapi adi leo? no wonder you stand against her while you're rotten more than her.
      Heri yeye anawapata wenye mvuto wa sura na hela wewe hao makapuku ndo unaobahatishaga.

      Hali yako wewe maji ya deki hadhi yake kumwaga uwani

      Delete
    2. ulifanya upuuzi hapo mwamzo sasa unajuta majuto mjukuu utaishia hivyo hivyo mpuuzi wewe

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad