Mtoto wa Miaka Mitatu Abakwa Na Kunyongwa Hadi Kufa

Mtoto mwenye umri wa miaka 3 na miezi 4 Mariam Deogratius mwanafunzi wa shule ya awali ya Makoko iliyopo katika Manispaa ya Mji wa Musoma mkoani Mara, amebakwa kisha kunyongwa hadi kufa na mtu asiyejulikana Usiku wa kuamkia leo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara kamishna msaidizi Philllip Kalang amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa Jeshi la Polisi linafanya Msako kuhakikisha Mhalifu anapatikana.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Laana tul Llahi..Ee Muumba wa kila kitu..hao watu uwadhalilishe duniani na Akhera. .na kila mtu awatabue ..Audhubillahi Minna sheitwan rajiim...Eeè.

    ReplyDelete
  2. Laana ya Allah iwe juu yao

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad