Nay wa Mitego Afunguka 'Nina Mashaka Yule Sio Demu wa Ommy Dimpoz ni Gelesha tu'

Baada ya Ommy Dimpoz leo Kumuonyesha demu wake laivu kwenye mtandao wa Instagram kupangua dongo alilopigwa na Nay wa mitego kuwa yeye ni Shoga, Nay wa Mitego amerudi tena na kuandika haya hapa:

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. acha ushoga ww fata yako

    ReplyDelete
  2. km una mashaka demu ni gelesha mpe demu wako au dada AKO AMKAZE

    ReplyDelete
  3. Unataka Kiki ya nyimbo yako acha watu Na maisha Yao vyovyote itakavyokua

    ReplyDelete
  4. Hata mimi nina mashaka huyo si demu yake,alikua anasubiri umpake ndo hao onyeshe demu yake? Nina vyojua alivyo na mishauo angekua na demu mzurikama huyo tunge komaje.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni wake,na yuko mwingine wamechangia na huyo Neema ndio maana hawapatani,ilikuwa vita vya chinichini sasa wameamua kutangazia uma.

      Delete
  5. Na wee neema ukae kimya sasa,kila kona wanakusema wewe kwa nini ugombane na wasanii wenzio.

    ReplyDelete
  6. mmmmmmmmmhhhhhhh

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad