“Kiukweli sina ugomvi na mtu na hii ni dunia haina siri, kama kuna mtu ananifanyia hivyo vitu basi itajulikana maana mimi nimeimba kama wimbo mwingine na sina ugonvi nao, sasa kama wananitafuta nitawatafuta kwa R/B,” alieleza.
Aliongeza kwamba, kwa sasa mtoto wake wa kike amefanyiwa upasuaji wa uvimbe katika koo na maendeleo yake ni mazuri, huku akisisitiza kwamba Ijumaa ya wiki hii atatoa video ya wimbo wake huo.
“Mwanangu alikuwa anaumwa lakini kwa sasa nashukuru Mungu hajambo na wiki hii nitatoa video ya wimbo wangu, mtaona tofauti na mnavyofikiria tofauti katika wimbo wenyewe,’’ alimaliza
Kawaida 'gang' huwa hakimbilii polisi,gang huwa nayamaliza mwenyewe iwe kwa shari au kwa kheri,huo wimbo wako wapo uliowagusia ukijua fika nao ni ma gang kukuzidi ww ss tulia,polisi ya nini na umeyataka mwenyewe?
ReplyDeletewe ndio uliwatusi wenzio so wenzio ndio wana haki ya kwenda polisi kukushitaki sasa wewe ndio umewawahi na kwenda polisi huoni hata hao polisi wanakushangaa na kukuona kilaza? kweli mtenda akitendwa huhisi kaonewa. mi wala sitashangaa likikukuta lolote wewe uwezi kuishi na wenzio kwa amani huna akili.
ReplyDeleteHata uende wapi, kifiro kiko palepale, wewe si'unajifanya rijali bana?? Usiogope, subiri uvune ulichopanda
ReplyDelete