Nay wa Mitego Avunjiwa Kioo Cha Gari yake..Alikuwa Anaenda Kutambulisha Video ya Shika Adabu yako

Rapper Nay wa Mitego amekutwa na misukosuko ya kuvunjiwa kioo cha gari lake na watu wasiofahamika wakati anaenda kutambulisha video yake mpya ya shika adabu yako kwenye kipindi cha FNL cha EATV.

Kupitia akaunti yake ya instagram @NayTrueboy rapper huyo ameweka picha ya gari hiyo ikiwa imevunja kioo na kuandika maneno yafuatayo..

”Nimevunjiwa kio Cha gari nikiwa njia naenda kwenye Intrvw Chanel5 EaTv kwa ajili ya kutambulisha my New Video #ShikaAdabuYako sorry Watu wangu mliokua mkisubiri kuona Video Na Interview yote nimeshindwa kufika naweka sawa ili. Video itaenda YouTube kesho itakua kwenye Tv yako Pendwa. Muziki sio vita….. I will never stop doing what i do.!!“

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona wimbo wako huo ni vita tupu. Wee ndio unapaswa kuambiwa hilo. Umeanzisha vita kwa kutukana wenzeo walioko ktk muziki na uigizaji.

    ReplyDelete
  2. The same to us, we shall never STOP doing what we DID!!!

    ReplyDelete
  3. siungi mkono watu kuvunja kioo lakini pia sifhani kama ni busara kwa Ney kuwaponda watu weeengi.. Huo ni ustaa mbuzi, huwezi kutaka umaarufu kwanjia hiyo.. Watu aliowatukana wana mafollowers kibao so you will never know mashabiki huia zaidi kuliko wahusika wenyewe.. Tunashauriwa kupunguza maadui na kuongeza marafiki as tunategemeana.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad