Ni Wapi Alipo Comrade Kinana? Je Magufuli Amemsahau....Namkubali Sana Jamaa Katika Makada CCM Waliopambana Kujenga Chama

Sijamsikia kwa kipindi kirefu kidogo na sio kawaida yake, na hata zile safari za ujenzi wa chama zilizoandaliwa hivi majuzi sizisikii tena kama wamekwenda au lah, mwenye taarifa atupatie maana alisaidia sana "kukijenga chama" huko mikoani kiasi kwamba kura za Chama "ziliongezeka" kwa kiasi kikubwa..Je Magufuli Kamsahau ama Vipi?
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Labda ni mgonjwa ama kaishapata nyumba ndogo ya kumlea huko Mikoani, ikiwa ndio matokeo ya kuzunguka zunguka Mikoani.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad