Picha: Diamond Asaini Dili Nono na Vodacom, Zari Amsindikiza Kusaini

Diamond Platnumz amesaini dili nono na kampuni ya Vodacom.


Kutoka Kushoto: Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, Ian Ferrao, Diamond, Zari, Babutale na mmoja wa maafisa wa juu wa kampuni hiyo

Hitmaker huyo alisindikizwa na mchumba wake Zari the Bosslady kwenye tukio hilo lililofanyika leo jijini Dar es Salaam. Haijulikani ni mkataba wa muda gani na atalipwa shilingi ngapi lakini vyanzo vimesema Diamond amevuta mkwanja mrefu.
“Closed the deal with Vodacom…watch this space! @ianferrao,” aliandika meneja wake, Babutale.
Kwa kuanza Diamond atahusika kwenye promotion mpya ya kampuni hiyo iitwayo Ongea Deilee.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Swafii fagilia waaa,piga kazi kijana hacha pololopolo km wengine Waw factor

    ReplyDelete
  2. Hii ndio rangi halisi ya bi zari si zile edit anazoturushia Na ziwa kidogo analo saafiii

    ReplyDelete
  3. BIG UP DIAMOND!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad