Picha: Mapokezi ya Diamond, Familia yake na Team yake Mjini KISUMU

Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinum siku ya jana akiwa na Zari  na Tiffah pamoja na team yake ya wasafi walitua mjini Kisumu nchini Kenya, na hizi ni baadhi ya picha za mapokezi yake hapo jana pamoja na ‘sound check’ aliyoifanya mapema leo kwa ajili ya show itakayofanyika leo mjini humo.


Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nifikiri mapokezi hayo White House USA Au uk au akhera
    Kisumu oops

    ReplyDelete
  2. Time imefika kila mtu atafute ugali mwenyewe Big up Mr Diamond piga kazi hakuna kulala kijana

    ReplyDelete
  3. big up kwa saaana diamond!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad