Picha za Mafuriko ya Diamond Alivyopokelewa Turkana Kenya..Amrushia Dongo Ali Kiba..

Diamond Platinumz “Kwenye Mitaa!!!....Molah nakushkuru kwakuwa naamini hizi zote ni baraka zako.... ila tu niwakumbushe ndugu zangu kuwa "Kuku hata umlishe nini kamwe hawezi kunyonyesha!"..... NAIROBI get ready for your Platnumz!!! AMERICA | EUROPE see you soon!”


Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwandishi diamond kamrushia wapi dongo kiba mbona sijaona?au bange nyingi mwandishi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hawa ndio waandishi wachonganishi tunaowasema.

      Delete
  2. siku zote maneno ya watu ndio hutia fitna na uchonganishaji dangote na kiba endeleeni na maisha yenu pigeni kazi msisikilize maneno ya watu hayata saidia haya ni maisha tu sote tunapita kila kitu tumekikuta na tutaviacha mcje kua ya kina ray na kanumba walichonganishwa na watu matokeo yake marehemu amefariki hawakuweza kurudisha waelewano mazuri km mwanzo achene izo,na watu pia acheni chokochoko

    ReplyDelete
  3. Wanaume hawagombanani

    ReplyDelete
  4. Kiba na Diamond wacolaborate ili kuwanyamazisha team uchwara.

    ReplyDelete
  5. HAKUNA HATA MWANDISHIBWA HABARI HAPO WOTE WASANIII KILA KIKICHA STORY ZA UGOMBANISHI FU,,,,K NA UBANIE COMMENT KAMA KAWAIDA YAKO MA,,,,WA KIUME.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad