Pius Msekwa Amfungukia Jakaya Kikwete ...Amtaka Aondoke na Mifumo yake Kabla ya Kumkabithi Magufuli


Siku moja baada ya CCM kuadhimisha miaka 39 tangu kuzaliwa kwake, kada mkongwe na muasisi wa chama hicho, Pius Msekwa amesema kuna haja ya kufanya mabadiliko ndani ya chama hicho hasa muundo wa halmashauri kuu ya taifa. Amtaka Jakaya kikwete afanye mabadiliko kabla ya kumpa kijiti Rais Magufuli.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kikwete ndiye tatizo kuu la matatizo yote nchini. Mwekeni pembeni achunguzwe fika na mumchukulie haua kali na familia yake yote na marafiki zao. Wamaifilisi nchi na kujichukulia mkononi kama kijumba chao. Mwache amimine maneno yote hayatampo kinga. Ni kigogo hatari kati ya vigogo vyote Tanzania.

    ReplyDelete
  2. Yeye kwake kila kitu ni mzaha tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad