Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akana Kutoa Amri ya Kufuta Matokeo ya Uchaguzi Zanzibar

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Rais Mstaafu Dokta Jakaya Kikwete amewataka watanzania kupuuzia uvumi unaoenezwa kuwa yeye ndiye aliyetoa amri ya kufuta matokeo ya Uchaguzi wa Zanzibar.

Amesema Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ina mamlaka kamili na hakuna mtu ambaye anaweza kuiingilia.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ponsio Pilato alimkana Yesu kwa kunawa mikono yake maji wakati si kweli kuwa eti Ponsio Pilato alikuwa hamjui Yesu

    ReplyDelete
  2. hata mkane ni nyie ndio mnamsaport shein hamtaki kuiachia zanzibar kwa maslahi yenu, na vita ipo njiani watu wamechoka

    ReplyDelete
  3. Uzoefu wangu ni viongozi wachache ambao ni wa kweli, labda lakini mmh!

    ReplyDelete
  4. Ukweli ukidhiri uongo hujitenga

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad