Sakata la Bunge Kutokuonyeshwa Laivu..Mh Lazaro Nyalandu Naye Atia Neno

Sakata la Bunge Kutokuonyeshwa Laivu..Mh Lazaro Nyalandu Naye Atia Neno

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni kweli mheshimiwa lazaro nyarandu,hapa tatizo ni uoga wa serikali kwa mtazamo kuwa ukawa wanajijenga zaidi katika upinzani kamilifu wa kuibua madhaifu mengi ya watendaji wa serikali na hususani serikali kuu yenyewe.sasa mheshimiwa nyarandu isubirie mvua ya shutuma kutoka upande wa ccm na kutoka kwa nape nnauye.wanachekesha ccm,pointi zinazidi kushuka kwani 2020 iko mbali?tuombe uhai.

    ReplyDelete
  2. True. hakuna sababu za msingi wananchi kunyimwa kujua yanayoendelea ndani ya nchi yao.

    ReplyDelete
  3. Hakuna haki ya kikatiba ya mwananchi. Kupata matangazo ya luninga "live".Nyalandu kachemka..

    ReplyDelete
  4. Bunge lenyewe ni vurugy tu na fujo hskuns haja kupoteza hels ya umma kwa sjili hiyo. Wstu wafanye kaxi udiku wstaangalia hixo vurygu. It is no longer intersting kusngslua bunge

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad