Shilole Afunguka...'Kuiba Waume za Watu Sijazoea Je Kwa Huyu Kuna Mtu Kaibiwa? '
9Udaku SpecialFebruary 17, 2016
Baada ya kile kinachoonekana Shilole amepata pumziko jipya baada ya kutemana na Nuhu Mzwanda, leo ameweka picha akiwa na jamaa huyo na kuuliza swali kwa wadau kama kuna mtu kaibiwa....
Ameandika hivi
Shilolekiuno Kuiba Waume za watu sijazoea! Je kuna mtu kaibiwa???
Pumba kabisa wewe dada kazi kucheza na vitoto tu unavionea na vile havijui hata kusaka pesa. Ngoja utakutana na majibaba yakuchakaze mwanzo mwisho
ReplyDeleteHili mama zima ovyooo! kazi kuchukua serengeti boy na kuwabiminda. khaaa
ReplyDeleteanamuiga Zari kuwapanulia watoto si ndo fassion siku hizi.
ReplyDeleteHata wema anampanulia miguu Idriss. Zari anakuuma eeh! ! Te teh teh. Donge hilooo wanaona donge haooo.
DeleteM.ume hachakai bidada usishindane Na Nuhu unajimaliza mwenyewe
ReplyDeletenahisi hujaiba wa mtu huyo ni wako pekeyako.! tangaza ndoa.
ReplyDeleteYaani wewe kila kukicha unawaza wanaume tu. Kwani kuishi bila wao kwako haiwezekani? Jiheshimu!
ReplyDeleteumeiba huyo ni mtt kabisaa wa wazazi
ReplyDeleteShilole kuwa na soni kwa jamii wewe,
ReplyDeleteana kati ya 18 na 20.Una laana wewe,ngoja wakubakie watoto wako.