Shilole na Nuhu Mziwanda Basi Tena..Waringishiana Wachumba Mpya Siku ya Valentines Day..Tazama Picha Hapa

Kama ulikuwa ni msiba wa ‘penzi’ basi arobaini imeisha na sasa maisha yanaendelea kwa wasanii wa Bongo fleva, Shilole na Nuh Mziwanda ambao uhusiano wao umekufa na kuzikwa kabisa.

Wiki chache baada ya couple ya ‘shiwanda’ kuvunjika, na juhudi za wadau mbalimbali kutaka kuwapatanisha kugonga mwamba (soma hapa), inavyoonekana Nuh na Shishi kila mmoja ameamua kuendelea na maisha yake kwa kufungua ukurasa mpya wa mapenzi tena kwa vitabu tofauti...

Siku ya Valentines Day Kwao ilikuwa mashindano kila mmoja akiwa busy kupost picha akiwa na au jipya....Tazama picha:
Upande wa Nuh Mziwanda naye ameanza kupost picha za msichana mwingine mrembo anayetumia jina la Erah Erah kwenye Instagram, ikiwa ni pamoja na picha walizopiga pamoja kama couple, na mrembo huyo kupost pia kwenye ukurasa wake.


Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mapenzi haya jamani, tuyaangaliage tu

    ReplyDelete
  2. ushamba tuumewajaaaaa........kila kitu mnataka kiwe kwenye public mnaifundisha nn jamii na umalaya wenu

    ReplyDelete
  3. Km huyu shilole anaelekea 40 years mbona kachoka hivi au ndio wanaume Una kz yanini kila mtu umuogeshe bwawa lako unajimaliza mwenyewe m.mke kiumbe dhaifu sn kuchakaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad