Sikiliza Barua Aliyoiandika Mtanzania Jackline Cliff Kutoka Gerezani China...

Jackline Cliff ni Mtanzania ambaye alikamatwa kwenye uwanja wa ndege na kufungwa gerezani huko Macao China kwa kosa la kujaribu kuingiza dawa za kulevya miaka miwili iliyopita, sasa leo kamuandikia mwandishi wa habari na Mtangazaji Millard Ayo barua ili aisome kwa Watanzania, bonyeza play kwenye hii video hapa chini….

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole sana mdada., nasi tunakuombea umalize salama kifungo. nasi tunajifunza sana kupitia mambo kama hayo ya kwamba tamaa mbele mauti nyuma. usijali mungu atakusaidia.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad