Supastaa Hasheem Thabeet yu Wapi?

Kama watanzania wazalendo tulifurahia sana ufiko wa kilele cha mchezo wa kikapu wa mbongo mwenzetu huyu.

Ni mafanikio makubwa naweza kuyaita kwa upande wa burudani na michezo kwa hatua aliyofikia Hasheem!
Ni masikitiko yangu kwamba simuoni kwenye maHeadline ya michezo na burudani kwa ujumla!

Yu wapi huyu supastaa na afanya nini sasa aliko!?
Kwa wenye data zake wakuu, mimi nashabikia sana wabongo watuwakilishao vyema Internatianale!!

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huna kazi zakufanya?? Hanakuhusu nini?? Ngoja Makufuri aje akutumbue majipu.

    ReplyDelete
  2. Makubwa swali Na jibu tofauti unajua msaidie,hujui funga bakuli lako kaulize swali la maana ulitaka aulize ya Zari Na Wema

    ReplyDelete
  3. Ana maisha yake tupo wengi ughaibuni hatutaki sifa Na scandaly tu acheni
    Kwani Tanzania au balozi hazijasadia mafanikio yetu ndo hatuna mpango navyo

    ReplyDelete
  4. Wema, domo, Zari
    Hawakutoshi

    ReplyDelete
  5. mwana una weza weka bundle na kuchapisha maneno yote hayo, umeshindwa kweli kuingia google na ku type jina lake na kupata info zake zote??? wabongo hampendi kufanya research mnapenda udaku tuuu, hapo ulipo unasubiri comments za kuambiwa amefulia, mara kiwango hana.... someni pambavu. Eti wajiita shabiki, hujui unaemshabikia for the past 3 yrs ana fanya nini!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad