Tazama Hapa Video Mpya ya Wimbo Mpya wa ALI KIBA Unaoitwa Lupela

Ni siku mbili zimepita toka Alikiba alipoifanya party ya kuitambulisha video yake mpya kwa Watanzania wachache waliopewa kadi za mwaliko, ila sasa hivi ameiachia video kwenye Youtube ili kila mtu aitazame… ni video ambayo aliifanya Marekani wiki kadhaa zilizopita…. 

Ukishaitazama acha na comment yako hapo chini ili Alikiba akipita badae ajue mashabiki zake wanasemaje.

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kijana amejitahidi sana kazi nzuri sana na hongera sana.

    ReplyDelete
  2. kimya kingi kinamshindo, Kiba ongera kwa kazi nzuri.

    ReplyDelete
  3. nice songo Kiba.

    ReplyDelete
  4. Nice work Kiba but shooting isn't good

    ReplyDelete
  5. Broo Kiba nakuomba ujitahidi video ziwe kalii

    ReplyDelete
  6. mxieeeeeeew utakaa sana kwa mondi

    ReplyDelete
  7. NYIMBO HATA UNDERGROUND ANAPIGA IO..................BADO SANAAAAAAAAAAAAA. ANGALIA CHAJIO CHAKO TU SIO LEVEL ZA MONDI BIN LADEN............

    ReplyDelete
  8. Jux alisema kuwa mashabiki WA Kiba mnamuua kiba kisanii kwa kumpa sifa hata kama kafanya vibaya, kwa style hii atasubiri Sana kutoka kimataifa hawezi kushindana na akina tecno, wizkid, diamond, mafikizolo nk, video chini ya kiwango, aumize kichwa game ngumu

    ReplyDelete
  9. Kweli kiba bado sanaaaaa huwezi kumfananisha na mondi hata nyimbo anazomuimbia tiffah ndani alale kibaaaa tunakuambia ukweli uking wako ni wako lkn badooooo kwanza kila siku mahadhi ya sauti yako ni hayohayo hakuna jipya.

    ReplyDelete
    Replies
    1. UYO MONDI YEYE NDO ANABADILISHA MAATHI YA SAUTI? KILA MMOJA ANASAUTI YAKE NA UIMBAJI WAKE MJAJI MTU YEYE KAMA YEYE NA C KUWALINGANISHA

      Delete
    2. MONDI ANABADILISHA SAUTI? KILA MMOJA ANAUIMBAJI WAKE HUWEZI WALINGANISHA MJAJI MTU YEYE KAMA YEYE

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad